hili – -Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 3 Results  www.jica.go.jp
  Utafiti juu ya Usimamiz...  
Hata hivyo, rasilimali za maji hasa kiasi cha maji yaliyoko chini ya ardhi na mahitaji ya maji katika sekta mbalimbali kwenye bonde hili hayajajulikana wazi, na hali hiyo inaufanya usimamizi wa rasilimali za maji kutotekelezwa kama unavyotakiwa.
The objective of this project is to enhance the administrative capabilities of the LGAs by providing training to individual staff members at district level, and empowering the Ministry of Water and Irrigation, regional governments and basin water offices which provide support to the LGAs.
  Utawala | Tanzania | Co...  
Moja ya mihimili ya MKUKUTA ni kuimarisha utawala bora kwenye serikali kuu pamoja na serikali za mitaa, na ili kufikia lengo hilo serikali imezindua mfululizo wa marekebisho ya kiutawala. Japani imekuwa ikitoa msaada katika eneo hili kwa kuweka mkazo maalumu katika eneo la "marekebisho ya serikali za mitaa" na "marekebisho ya usimamiaji wa fedha za umma".
In 2005, the Government of Tanzania formulated its National Strategy for Growth and Reduction of Poverty, known by its Swahili name as MKUKUTA. One of the pillars in MKUKUTA is strengthening good governance both at central and local governments, and the government has launched a series of administrative reforms to attain this objective. Japan has been providing support to this area with a particular emphasis on "local government reform" and "public finance management reform".