hii – Traduction – Dictionnaire Keybot

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch English Spacer Help
Langues sources Langues cibles
Keybot 7 Résultats  baronkirmann.com
  Machapisho — Panda Miti...  
Katika Sehemu Hii
On This Section
  Kuhusu Sisi — Panda Mit...  
Programu imepangwa kuwa ya miaka 16, na kwa sasa ipo katika awamu ya kwanza ((2014-2017). Awamu hii ambayo inatekelezwa na shirika la Indufor Oy la Finland kwa ushirikiano na Niras, ambayo yanatoa msaada wa huduma za kitaalam za upandaji miti kibiashara kwa ujumla.
The planned 16-year Programme is now in its first Phase (2014-2017). Phase I is implemented by Indufor Oy in partnership with Niras Finland Oy, providing technical assistance services. The Programme works under the guidance of the Ministry of Natural Resources and Tourism of Tanzania and the Embassy of Finland in Dar es Salaam.
  Dira na Dhamira — Panda...  
Lengo la awamu ya kwanza ya Programu hii (2014-2017), ni kuwezesha upandaji wa miti ulio endelevu, shirikishi na wenye faida kiuchumi na kuhakikisha kwamba shughuli ambatanishi zinatoa ajira na kuongeza kipato kwa wamililiki binafsi wa mashamba ya miti, vikundi vya uzalishaji vidogo na vya kati na kaya za wasiojiweza zilizo katika eneo la Programu.
The purpose of the first phase of the Programme (2014-2017) is to see that economically viable, sustainable and inclusive plantation forestry and related value chains provide employment and increased income for private forest owners, SMEs and vulnerable households in the Programme area. The Programme will adapt successful private sector development models to its needs and scale-up their applications in plantation forestry.
  Kuhusu Sisi — Panda Mit...  
Programu itawezesha maendeleo makubwa katika sekta hii kwa kuanzisha na kushiriki katika majadiliano baina ya wadau wakubwa wa sekta hii na kutoa mapendekezo juu ya utayarishaji wa sera, sheria na maendeleo ya biashara.
The Programme’s innovative approaches will be evaluated and its best practices disseminated widely within the sector to ensure sustainability and maximize the benefits from used resources. The Programme will also facilitate broad development of the sector by initiating and engaging in dialogue among key stakeholders and by processing proposals for policy, legislative and business development.
  Tunafanya Nini — Panda ...  
Vikundi vya wakulima wa miti vinatumia mbinu shirikishi na kuhakikisha kuwa wakulima wanawake wanapata fursa ya kuwa wanachama. Vilevile shughuli za kiabishara ambazo zinaimarishwa kwa msaada wa Programu hii zitatoa fursa za ajira kwa watu kwenye mashamba au viwanda vya kadri, vidogo na vya kati.
The Programme’s beneficiaries are all those people who benefit from the improved performance of the plantation forestry value chain. The Programme is specifically designed to support the livelihoods of tree-growing farmer households in selected districts in Iringa, Njombe and Morogoro regions (the districts of Njombe, Njombe TC, Mufindi, Kilolo, Makete, Ludewa, Ulanga, Kilombero, and Songea) as well as people, households and SMEs within the forestry sector value chain.