watu – Übersetzung – Keybot-Wörterbuch

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Français English Spacer Help
Ausgangssprachen Zielsprachen
Keybot 121 Ergebnisse  initiatetechnologies.com  Seite 2
  Envaya: Interface Text  
Karibisha watu kushiriki
Invite people to participate
  UMOJA NA WATU WANAOISHI...  
UMOJA NA WATU WANAOISHI KWA MATUMAINI BAGAMOYO(UWAMABA imejiunga na Envaya.
UMOJA NA WATU WANAOISHI KWA MATUMAINI BAGAMOYO(UWAMABA yasanze Envaya.
  Envaya: Jitolee!  
Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea.
Uru ni urutonde rw'ibigo byifuza abakorera bushake.
  Mtandao wa Kitaifa kwa ...  
Mtandao wa Kitaifa kwa maendeleo ya Afya, huduma na uegemezi wa watu waisio na VVU (SHDEPHA+) imejiunga na Envaya.
Mtandao wa Kitaifa kwa maendeleo ya Afya, huduma na uegemezi wa watu waisio na VVU (SHDEPHA+) yasanze Envaya.
  Envaya: Interface Text  
Andika kuhusu watu wanaoongoza shirika lako.
Write about the people who lead your organization.
  Envaya: Interface Text  
Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea.
Below is a list of the organizations on Envaya requesting volunteers.
  Envaya: Interface Text  
Karibu katika Envaya! Baada ya dakika chache tu, shirika lako litakuwa na tovuti, ambapo utaweza kugawa habari kuhusu miradi yako na kuwaambia watu kuhusu kazi yako.
Welcome to Envaya! In just a few minutes, your organization will have a website of its own, for free, where you can share news about your projects and let everyone know about your work.
  Tumaini Women Group: Ma...  
Karibisha watu kushiriki
Tumira abandi mu kiganiro
  JINSIA NA MAENDELEO  
KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI,ILI KUINUA HALI ZA MAISHA YA WATU WA KAWAIDA KWA KUZINGATIA MGAWANYO WA MAJUKUMU KIJINSIA. – JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.
KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI,ILI KUINUA HALI ZA MAISHA YA WATU WA KAWAIDA KWA KUZINGATIA MGAWANYO WA MAJUKUMU KIJINSIA. – JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika... Soma ibindi
  Envaya: Interface Text  
Ukurasa huu unaruhusu watu wowote – kutoka kwenye shirika lako au mashirika mengine, kutoka jumuiya yako au duniani kote – kushirikiana na kujadiliana kuhusu mada zinazohusu shirika lako na shughuli yako.
This page allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work.
  Sakale Development Foun...  
Sakale Development Foundation: Nchi/Watu lazima iwe na viongozi, huo ni mpango wa mungu. Hakuna ubishi katika hilo, lakini je yeyote aweza kuwa kiongozi? bila shaka jibu ni hapana, hapa ina maana kwamba kuongoza ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine ambavyo mwanadamu hujaliwa na mwenyezi mungu.
Sakale Development Foundation: Nchi/Watu lazima iwe na viongozi, huo ni mpango wa mungu.Hakuna ubishi katika hilo, lakini je yeyote aweza kuwa kiongozi? bila shaka jibu ni hapana, hapa ina maana kwamba kuongoza ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine ambavyo mwanadamu hujaliwa na mwenyezi mungu.Katika Tanzania siku hizi... Soma ibindi
  TAASISI YA KUPAMBANA NA...  
DR PETER KIBACHA: @NG'ONYE JOHN (Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari.): – Vizuri sana John;Nafikiri watu wanahamu kubwa ya kupata dawa ya ugonjwa huu;hasa wale ambao wameshaathirika ndio maana watu wengine (siyo babu wa loliondo) wanatumia njia ya kujipati fedha wakijua kwamba dawa haitibu lakini watu...
DR PETER KIBACHA: @NG'ONYE JOHN (Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari.): – Vizuri sana John;Nafikiri watu wanahamu kubwa ya kupata dawa ya ugonjwa huu;hasa wale ambao wameshaathirika ndio maana watu wengine (siyo babu wa loliondo) wanatumia njia ya kujipati fedha wakijua kwamba dawa haitibu lakini watu... Soma ibindi

  Kamamma Integrated Deve...  
KIDI imejitoa kwa moyo kuboresha hali ya maisha ya jamii ya watu waishio vijijini, kwa kuinua ubora wa elimu kwa watoto na watu wazima, kuendeleza upatikanaji wa maji safi na salama, kuhifadhi chakula, mazingira, kusaidia vikundi vya maendeleo vya kuweka na kukopa na utekelezaji wa MKUKUTA kwa kutoa elimu ya utawala bora.
KIDI is committed to improve the standards of living to rural grassroots communities by promoting quality education to children and adults, enhancing availability and access to clean and safe water, realisation of food security and sustainable environment.
  Envaya: Jitolee!  
Society for Women and AIDS in Africa - Shirika la SOCOETY FOR WOMEN AND AIDS INA AFRICA (SWAA) linapenda kufanya kazi na watu mbalimbali wa kujitolea maeneo ya vijijini hasa wilaya ya Mvomero Wilaya hii ipo katika mkoa wa Morogoro, na kwa sasa shrika linaendesha mafunzo juu ya Haki za Binadamu hususani sheria za watoto.
Society for Women and AIDS in Africa - Shirika la SOCOETY FOR WOMEN AND AIDS INA AFRICA (SWAA) linapenda kufanya kazi na watu mbalimbali wa kujitolea maeneo ya vijijini hasa wilaya ya Mvomero Wilaya hii ipo katika mkoa wa Morogoro, na kwa sasa shrika linaendesha mafunzo juu ya Haki za Binadamu hususani sheria za watoto. Elimu hii kwa sasa inatolewa katika kamati za shule, wazazi... Soma ibindi
  Kamamma Integrated Deve...  
KIDI imejitoa kwa moyo kuboresha hali ya maisha ya jamii ya watu waishio vijijini, kwa kuinua ubora wa elimu kwa watoto na watu wazima, kuendeleza upatikanaji wa maji safi na salama, kuhifadhi chakula, mazingira, kusaidia vikundi vya maendeleo vya kuweka na kukopa na utekelezaji wa MKUKUTA kwa kutoa elimu ya utawala bora.
KIDI is committed to improve the standards of living to rural grassroots communities by promoting quality education to children and adults, enhancing availability and access to clean and safe water, realisation of food security and sustainable environment.
  Envaya: Wafadhili  
Trust Giencke Family ina nia katika kufanya mabadiliko katika maisha ya watu moja kwa moja kama iwezekanavyo. Trust inasaidia mashirika kama vile Mfuko wa Jimmy kwa utafiti wake wa kansa, MinutemanSenior.org kwa ajili ya kazi yao ya kutoa huduma muhimu kwa wazee na walemavu, vilevile inatoa msaada kwa Envaya katika kusaidia mashirika ya kiraia katika nchi zinazoendelea.
The Giencke Family Trust is committed to making a difference in peoples' lives as directly as possible. The Trust supports such organizations as the Jimmy Fund for its cancer research, MinutemanSenior.org for their work providing vital services to the elderly and the disabled, and Envaya for our support of grassroots civil society organizations in developing countries.

UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA - Wazee wana uhitaji mkubwa wakusaidika hivyo tunatoa rai kwa watu mbalimbali wenye mapenzi mema na wazee wajitolee kushirikiana nasi katika kukamilisha malengo yetu katika changamoto zinazotukabili katika masuala ya afya, elimu, wataalamu wakuandika miradi na taaluma yoyote ambayo unadhani kuja kwako kwetu inaweza...
UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA - Wazee wana uhitaji mkubwa wakusaidika hivyo tunatoa rai kwa watu mbalimbali wenye mapenzi mema na wazee wajitolee kushirikiana nasi katika kukamilisha malengo yetu katika changamoto zinazotukabili katika masuala ya afya, elimu, wataalamu wakuandika miradi na taaluma yoyote ambayo unadhani kuja kwako kwetu inaweza... Soma ibindi
  MAPAMBANO DHIDI YA UMAS...  
UTANGULIZI – Asasi ya Mapambano Dhidi ya Umasikini na Ukimwi ni Asasi isiyo ya kiselikari na isiyolenga kugawana faida lakini inalenga kutoa ushauri wa kuendesha miradi ya kiuchumi kwa waathirika na waathiriwa wa janga la UKIMWI. Asasi hii imeanzishwa na watu wachache wanaoishi na virusi vya UKIMWI Tangu mwaka 2006 ...
UTANGULIZI – Asasi ya Mapambano Dhidi ya Umasikini na Ukimwi ni Asasi isiyo ya kiselikari na isiyolenga kugawana faida lakini inalenga kutoa ushauri wa kuendesha miradi ya kiuchumi kwa waathirika na waathiriwa wa janga la UKIMWI. Asasi hii imeanzishwa na watu wachache wanaoishi na virusi vya UKIMWI Tangu mwaka 2006 ... Soma ibindi
  Envaya: Shirikiana nasi  
Tunatafuta watu wenye moyo watakaopenda kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au mtaalamu wa programu za kompyuta, au mtaalamu asiyetaka faida yoyote anayeweza kusaidia shirika letu kukua na kuchangia fedha ili liweze kujiendesha, tunapenda sana kusikia kutoka kwako.
We are actively looking for motivated people who have been inspired to contribute to our efforts to empower grassroots civil society through technology. Whether you’re an international development specialist interested in expanding and improving our operations, a programmer who wants to directly contribute to our platform, or a non-profit professional who can help our organization grow and fundraise, we’d love to hear from you.

Mapambano dhidi ya umasikini na UKIMWI Ni shirika lisilo la kiserikali lililo anzishwa tangu mwaka 2006 na watu wachache waishio na VVU / UKIMWI wazo la kuanzisha asasi hii lilikuja baada ya kutafakari changamoto mbalambali zinazowakabili watu waishio na vvu /ukimwi ktk maisha yao kwa ujumla Hii ilipelekea kuanzishwa kwa...
Mapambano dhidi ya umasikini na UKIMWI Ni shirika lisilo la kiserikali lililo anzishwa tangu mwaka 2006 na watu wachache waishio na VVU / UKIMWI wazo la kuanzisha asasi hii lilikuja baada ya kutafakari changamoto mbalambali zinazowakabili watu waishio na vvu /ukimwi ktk maisha yao kwa ujumla Hii ilipelekea kuanzishwa kwa... Soma ibindi

  TANZANIA NATIONAL INSTI...  
Kuwahudumia watu wasioona ili wapate maendeleo.
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
  JUMUIYA YA MAENDELEO YA...  
JUMUIYA YA MAENDELEO YA WATU WA BWELEO imejiunga na Envaya.
JUMUIYA YA MAENDELEO YA WATU WA BWELEO yasanze Envaya.
  SINGIDA PEOPLE LIVING W...  
kutoa huduma kwa watu waishio na virusi vya ukimwi
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
  SINGIDA PEOPLE LIVING W...  
kutetea haki za watu waishio na virusi vya ukimwi
kutoa huduma kwa watu waishio na virusi vya ukimwi
  Envaya: Jiandikishe kwe...  
Karibu katika Envaya! Baada ya dakika chache tu, shirika lako litakuwa na tovuti, ambapo utaweza kugawa habari kuhusu miradi yako na kuwaambia watu kuhusu kazi yako.
ikaze kuri Envaya! Mu minota mike ikigo cyanyu kiraba gifite urubuga rwacyo, ku buntu, aho mushobora gusangira amakuru ajyanye n'imishinga yanyu ndetse mukamenyesha na buri wese ibyo mukora
  ELDERS FOR THE PREVENTI...  
Asasi ya EPA-Ukimwi inakusudia kuanzisha vipindi vya utoaji elimu juu ya kutoa huduma kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi waweze kujizalishia mali kwa kutumia raslimali zinazopatikana ndani ya maeneo yao.
Asasi ya EPA-Ukimwi inakusudia kuanzisha vipindi vya utoaji elimu juu ya kutoa huduma kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi waweze kujizalishia mali kwa kutumia raslimali zinazopatikana ndani ya maeneo yao. Mafunzo haya yatakayohusisha washiriki 30 wa kata za Namajani na Mbonde-mtapika yataendeshwa na wawezeshaji... Soma ibindi
  Envaya: Habari  
Ndani ya wiki ya zoezi hili la sensa tumeona vipindi vingi kwenye runinga na kusikia kwenye maredio kuhusu umuhimu wa sensa, lakina bado jamii inahitaji taarifa zaidi ili kuelewa haswa sensa ina umuhimu gani na inamaana gani. Kwa bahati mbaya watu wengi wamegundua baadae sana umuhumu wa sensa ambapo zoezi limeshamalizika.
The general feeling within the communities we have interviewed is that they need to know more about the importance of a Census count every decade and receive feedback after the census has been conducted so that they can be satisfied with the outcome of the Census. Over the course of the census week we have seen commercials on television and heard them on radio about how important this exercise is. Various local shows have covered this topic and slowly we have come to see what benefits we receive from this census. However it is still not enough, we need more information. Unfortunately some have come to realize a little too late after refusing to be counted. It is up to us as leaders of small and big CSO's and NGO's to demand this information for our community and educate our communities on this exercise and not be too scared to ask the government to provide seminars to educate small and large CSO's and NGO's so we can then educate our communities.

  Envaya: Ushuhuda  
Chini ni sampuli ya maoni ya hivi karibuni ambayo Envaya imepokea kutoka kwa watu ambao wanatumia Envaya kwa ajili ya mashirika yao ya kiraia.
Below is a sampling of recent feedback that Envaya has received from people who use Envaya for their civil society organizations:
  Envaya: Habari  
Baadhi ya watu wanaona zoezi la sensa kwa wiki nzima ni muda mrefu na halina maana, wakati wengine wanakiri na kusema kwamba ni zoezi ambalo lina umuhimu mkubwa sana kwa nchi. Pia kuna wengine ambao wanaliona zoezi hili la sensa kama utamaduni tu wa kila baada ya miaka kumi lakini kimsingi halina maana.
A woman from AWITA said “some people co-operated in facilitating the census success, but either don’t see and feel the benefits, or are beneficiaries who aren’t adequately briefed on the link between the two.” In addition to that, they are updated on how the population grows as the years go by, but, either don’t witness changes in sectors like infrastructure that should be visible and public knowledge, or information on such issues is lacking, or doesn’t flow properly and effectively.
  Envaya: Habari  
Utamaduni wa kitanzania ni mzuri sana wenye heshima na adabu katika jamii. lugha rasmi nchiniTanzania ni Kiswahili lakini pia watu wengi huzungumza Kiingereza. Watu wa Tanzania wanajulikana sana kwa ukarimu na upole.
Tanzania is a country that is extremely rich in traditions and culture, well known to treasure its heritage and pride in cultural practices. Tanzania is a harmonious culture that’s mostly based on a subtle but strong social code of respect and courtesy. The official language in Tanzania is Swahili, although many people speak English. Tanzanian people are known to be extremely friendly and polite.
  Envaya: Habari  
Alisema mmoja wa mhojiwa, kwa sababu sensa ina umuhimu katika kuweka misingi ya kimaendeleo ya nchi, kama serikali itakuwa inatoa taarifa kwa wananchi ya nini kimefanyika baada ya sensa, watu wataelimika na watakuwa tayari kuhesabiwa kwa hiari kabisa na si kwa kulazimishwa kwa sababu watakuwa wameshajua umuhimu wa kuhesabiwa.
One interviewee insisted that “Census plays an important role in laying the foundations of the country’s development, if  the government will be giving the census feedback to the citizens we will support the government on this and we’ll distancing ourselves from whoever that doesn't  want to be counted.”
  Envaya: Habari  
Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima.
However, the census has not received universal support. Tanzanians wake up to the knocks of survey takers going from house to house asking “Who slept here last night?” Before the government started to carry out this exercise we heard several members of the community threatening to boycott enumerators, and civilians, religious leaders and village chairmen in various parts of the country demanding not to participate in the census exercise.
  Envaya: Habari  
UTEKELEZAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI KWA MWAKA 2012
THE OVERALL 2012 CENSUS EXECUTION IN TANZANIA
  Envaya: Habari  
Utamaduni wa kitanzania ni mzuri sana wenye heshima na adabu katika jamii. lugha rasmi nchiniTanzania ni Kiswahili lakini pia watu wengi huzungumza Kiingereza. Watu wa Tanzania wanajulikana sana kwa ukarimu na upole.
Tanzania is a country that is extremely rich in traditions and culture, well known to treasure its heritage and pride in cultural practices. Tanzania is a harmonious culture that’s mostly based on a subtle but strong social code of respect and courtesy. The official language in Tanzania is Swahili, although many people speak English. Tanzanian people are known to be extremely friendly and polite.
  Envaya: Habari  
Ni vigumu kwa wanaotaka kufanya huduma hii kama hawana taarifa ya uhitaji huu.kuna mashirika mengi ya kimataifa yanayohitaji watu wa kujitolea, mashirika haya yamefanikiwa kufahamika duniani kote kwa sababu ya urahisi wa taarifa zao,taarifa zao wamezisambaza kwa njia ya mtandao.
In Tanzania, the culture of volunteerism is not very developed. It is very rare that one would give of their time and resources to join a social initiative that pays little or nothing. There could be various reasons for this. One of which could be the the lack of an integrated community service system in the education curriculum of Tanzania. The national education system of some countries in the West require a certain amount of community service hours to be fulfilled by a student in order to pass. In Tanzania the education revolves around theory. Only at the University Level is a student required to carry out practical training for at least two months and even in this the student expects to be paid.
  Envaya: Habari  
Vile vile, waliohojiwa walisema ili serikali kwa siku za usoni iweze kufanikisha zoezi hili kwa ufanisi mkubwa lazima ishirikishe kwa ukaribu sana viongozi wa ngazi za chini kabisa kama wajumbe na mabalozi kwa maana hao ndo wanaishi karibu na jamii zao wanazielewa familia zote kwahiyo taarifa zitakazotolewa kwa kalani mbele ya mjumbe zinakuwa zina ukweli mkubwa. Sahivi watu hawatoi taarifa za ukweli kwa makalani kwa sababu hawawajui na kulingina na mila zetu mtu hawezi kutoa taarifa zenye ukweli kwa mtu asiyemjua.
Also, interviewees said that there should be an effective involvement of local leaders in the exercise; because enumerators were not native to the areas, therefore many households provided unreliable information to the enumerators due to taboo and norms. The enumerators should be native to the areas and known by most of people over there and be accompanied by indigenous local leaders in order to collect the most reliable information.
  Envaya: Habari  
Mbali na hisia binafsi za kuridhika na kutimiza haja katika kuhudumia mataifa yao, Kujitolea kunamuwezesha mtu kupata ujuzi na uzoefu ambao utakuwa na manufaa hapo baadaye katika kupata ajira. Ni kawaida kwa waajiri kuangalia watu wenye uwezo na uzoefu wa kazi.
There has been a huge emphasis over the years of how Africans should reclaim their own development and recline from dependency on foreign agencies. On a macro level this might mean cutting down on foreign aid or imports, but on a micro level this definitely means Africans themselves should be more involved and responsible for their respective nation’s development.  Volunteering in social initiatives is a great way of being part of a small but significant part of a nation’s development. A great example is the famous Wangari Maathai, who started off with a handful of women planting trees in rural Kenya, which has now become a Pan- African movement to save our environment.
  Envaya: Habari  
Mwanamke kutoka AWITA alisema "baadhi ya watu walishiriki kikamilifu katika utekelezaji wa zoezi hili, lakini japokuwa walishiriki wala hawaoni faida yoyote ya kuhesabiwa. Alisema “hatuoni faida yoyote na wala hakuna dalili zozote za mabadiliko katika maendeleo, naona serikali inafanya zoezi hili ili labda tu kujisifia mbele ya mataifa mengine kwamba ina idadi kubwa ya watu. Baada ya sensa huwa hatuoni taarifa yoyote kurudi kwa wananchi, na kuambiwa mikakati yoyote ya kimaendeleo itakayofanyika baada ya zoezi la sensa”.
As the authorities announce that the national population and housing census recorded 80 per cent success, the team learnt that in some suburbs there were misunderstandings between the enumerators and the local government leaders. Furthermore, there are cases when local area government leaders, appointed to accompany the enumerators, abandoned the exercise claiming they were not paid allowances.
  Envaya: Habari  
Cha kushangaza mamia ya wanawake wazee wanauawa kila mwaka kwa tuhuma za uchawi baada ya kupata wao wanachokiita ukweli kutoka kwa baadhi ya waganga wa jadi. Wengi wa wanawake wazee wenye macho mekundu wanauawa hasa katika ukanda wa ziwa victoria, watu hushindwa kuelewa kwamba wanawake wenye macho mekundu wameathiriwa na moshi wakati wa kupika.
Surprisingly, hundreds of elderly women are killed every year, not because they have been legally convicted of performing witchcraft acts, but because some traditional healer has instigated the execution by convincing communities that elderly women with red eyes are all witches. Most of the elderly women with red eyes are killed mainly around Lake Zone, people fail to understand that women with red eyes are the victims of indoor pollution; they cook daily on wood stoves and inhales amounts of poisonous gas. Due to scarcity of fuel wood, sometimes cow dung is used as an alternative to firewood. Use of low quality biomass fuels like cow dung causes indoor pollution which is a hazard reflected in eyes turning red.
  Envaya: Habari  
Lengo la Envaya limekuwa daima katika kutatua tatizo la usambazaji wa habari kwa ajili ya asasi ndogo, na katika hili envaya sasa imezindua kipengere kipya katika tovuti yake cha Kujitolea ambapo asasi zinaweza kuweka tangazo kama wanahitaji watu wa  kujitolea.
Another problem could simply be the lack of easily available information from both the Ngos and the potential volunteer. It is hard for a potential volunteer to give their service if they are not aware of the need. There are many international volunteer agencies like Cross Cultural Solutions or International Volunteer HQ that allocate volunteer opportunities to people all over the world and the only reason they thrive is because of how easily accessible their information is through the internet. The dissemination of such information in Tanzania about volunteer opportunities is very limited and practically non-existent for small civil society organizations that can not afford to advertise on newspapers.
  Envaya: Habari  
Utamaduni wa kitanzania ni mzuri sana wenye heshima na adabu katika jamii. lugha rasmi nchiniTanzania ni Kiswahili lakini pia watu wengi huzungumza Kiingereza. Watu wa Tanzania wanajulikana sana kwa ukarimu na upole.
Tanzania is a country that is extremely rich in traditions and culture, well known to treasure its heritage and pride in cultural practices. Tanzania is a harmonious culture that’s mostly based on a subtle but strong social code of respect and courtesy. The official language in Tanzania is Swahili, although many people speak English. Tanzanian people are known to be extremely friendly and polite.
Tanzania is a country that is extremely rich in traditions and culture, well known to treasure its heritage and pride in cultural practices. Tanzania is a harmonious culture that’s mostly based on a subtle but strong social code of respect and courtesy. The official language in Tanzania is Swahili, although many people speak English. Tanzanian people are known to be extremely friendly and polite.
  Envaya: Habari  
Baadhi ya watu wanaona zoezi la sensa kwa wiki nzima ni muda mrefu na halina maana, wakati wengine wanakiri na kusema kwamba ni zoezi ambalo lina umuhimu mkubwa sana kwa nchi. Pia kuna wengine ambao wanaliona zoezi hili la sensa kama utamaduni tu wa kila baada ya miaka kumi lakini kimsingi halina maana.
A woman from AWITA said “some people co-operated in facilitating the census success, but either don’t see and feel the benefits, or are beneficiaries who aren’t adequately briefed on the link between the two.” In addition to that, they are updated on how the population grows as the years go by, but, either don’t witness changes in sectors like infrastructure that should be visible and public knowledge, or information on such issues is lacking, or doesn’t flow properly and effectively.
Some people perceive the week-long exercise as meaningless, while others acknowledge that it is important, but feel that it is not a top priority issue. They would rather have the resources committed to the census invested in areas they consider more pressing. Yet others dismiss it as a periodic formality that only serves to show that Tanzania’s population is increasing, as if bigger numbers were something to be proud of.
  Envaya: Habari  
Mwanamke kutoka AWITA alisema "baadhi ya watu walishiriki kikamilifu katika utekelezaji wa zoezi hili, lakini japokuwa walishiriki wala hawaoni faida yoyote ya kuhesabiwa. Alisema “hatuoni faida yoyote na wala hakuna dalili zozote za mabadiliko katika maendeleo, naona serikali inafanya zoezi hili ili labda tu kujisifia mbele ya mataifa mengine kwamba ina idadi kubwa ya watu. Baada ya sensa huwa hatuoni taarifa yoyote kurudi kwa wananchi, na kuambiwa mikakati yoyote ya kimaendeleo itakayofanyika baada ya zoezi la sensa”.
As the authorities announce that the national population and housing census recorded 80 per cent success, the team learnt that in some suburbs there were misunderstandings between the enumerators and the local government leaders. Furthermore, there are cases when local area government leaders, appointed to accompany the enumerators, abandoned the exercise claiming they were not paid allowances.
  Envaya: Habari  
Vile vile, waliohojiwa walisema ili serikali kwa siku za usoni iweze kufanikisha zoezi hili kwa ufanisi mkubwa lazima ishirikishe kwa ukaribu sana viongozi wa ngazi za chini kabisa kama wajumbe na mabalozi kwa maana hao ndo wanaishi karibu na jamii zao wanazielewa familia zote kwahiyo taarifa zitakazotolewa kwa kalani mbele ya mjumbe zinakuwa zina ukweli mkubwa. Sahivi watu hawatoi taarifa za ukweli kwa makalani kwa sababu hawawajui na kulingina na mila zetu mtu hawezi kutoa taarifa zenye ukweli kwa mtu asiyemjua.
Also, interviewees said that there should be an effective involvement of local leaders in the exercise; because enumerators were not native to the areas, therefore many households provided unreliable information to the enumerators due to taboo and norms. The enumerators should be native to the areas and known by most of people over there and be accompanied by indigenous local leaders in order to collect the most reliable information.
Also, interviewees said that there should be an effective involvement of local leaders in the exercise; because enumerators were not native to the areas, therefore many households provided unreliable information to the enumerators due to taboo and norms. The enumerators should be native to the areas and known by most of people over there and be accompanied by indigenous local leaders in order to collect the most reliable information.
Arrow 1 2 3 4 5 6 7 8 Arrow