invito – Swahili Translation – Keybot Dictionary
TTN Translation Network
TTN
TTN
Login
Deutsch
Français
Source Languages
Target Languages
Select
Select
Keybot
29
Results
2
Domains
5 Hits
ec.jeita.or.jp
Show text
Show cached source
Open source URL
“Estimats fills, tot aquest temps que Déu em permet d’estar amb vosaltres, d’una manera particular, vull guiar-vos en el camí que porta a Jesús i en el camí de la salvació. Fillets meus, només en Déu podeu trobar la salvació, per això, particularment en aquest dia de gràcia, amb el petit Jesús entre els braços, us
invito
a permetre que Jesús neixi en els vostres cors perquè només amb Jesús en el cor podeu encaminar-vos cap al camí de salvació i de vida eterna. Gràcies per haver respost a la meva crida. ”
Compare text pages
Compare HTM pages
Open source URL
Open target URL
Define
medjugorje.ws
as primary domain
“Wanangu wapendwa, Leo katika siku hii ya neema nawaalika hasa kusali kwa ajili ya amani. Wanangu, nimekuja hapa kama Malkia wa Amani na mara nyingi nimewaalika kusali kwa ajili ya amani. Lakini wanangu, mioyo yenu imefadhaika. Dhambi inawazuia kufunguliwa kabisa kwa neema na amani ambayo Mungu ataka kuwapeni. Ili kuishi amani, wanangu, yawapasa kuwa kwanza na amani mioyoni mwenu na kujiachia kabisa kwa Mungu na mapenzi Yake. Msitafute amani na furaha katika mambo ya dunia hii maana haya yote hupita. Muelekee rehema ya kweli, amani itokayo kwa Mungu tu na hivyo mioyo wenu hivyo tu itajaa furaha ya kweli; hivyo tu mtaweza kuwa mashahidi wa amani katika dunia hii ya hofu. Mimi ni mama yenu na ninawaombea kila mmoja wenu mbele ya Mwanangu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
24 Hits
www.sounddimensionsmusic.com
Show text
Show cached source
Open source URL
“Estimats fills, us
invito
novament a seguir- me amb alegria. Desitjo conduir-vos tots al meu Fill i Salvador vostre. No sou conscients que sense Ell no teniu alegria, ni pau, ni futur, ni vida eterna. Per això, fillets, aprofiteu aquest temps de pregària joiosa i d’abandó. Gràcies per haver respost a la meva crida. ”
Compare text pages
Compare HTM pages
Open source URL
Open target URL
Define
pda.medjugorje.ws
as primary domain
“Wanangu wapendwa! Wakati huu ndio wakati wa neema na sala, wakati wa kungojea na wa majitoleo. Mungu anajitolea kwenu ili mumpende juu ya kila jambo. Kwa hiyo, wanangu, fumbueni mioyo yenu na jamaa zenu ili kungojea huko kugeuke kuwa sala na upendo na hasa majitoleo. Mimi nipo pamoja nanyi, wanangu, na ninawasihi msiache mema maana matunda yaonekana, yasikika, na yafika mbali. Kwa hiyo adui amekasirika na anafanya kila njia kuwaondoa ninyi katika sala. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”