a secure – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      20 Results   9 Domains
  2 Hits www.google.de  
Technology that sets up a secure communication path between computers. If a website supports SSL encryption, data sent to and from that website should be protected from eavesdroppers on the Internet.
Teknolojia inayosanidi njia salama ya mawasiliano kati ya kompyuta. Kama tovuti inaauni usimbaji fiche wa SSL, data inayotumwa au kutoka kwenye kwenye tovuti inapaswa kulindwa kutoka kwa walaghai kwenye Intaneti.
  maps.google.it  
We only share personal information with third parties in the circumstances described in the Wallet Privacy Notice. The credit card and debit card numbers you enter into your Google Wallet account are encrypted and stored on secure servers in a secure location.
Google hutumia nambari za kadi za mkopo na kadi za matumizi unazoingiza katika akaunti ya Google Wallet ili kuchakata malipo ya ununuzi kwenye mtandao na nje ya mtandao unaoufanya ukitumia Google Wallet, ikiwa ni pamoja na shughuli za Google Play, na kwa makusudi ya kufuatilia ulaghai. Ilani ya Faragha ya Google Wallet hutoa maelezo ya kina kuhusu jinsi tunavyotumia maelezo ya akaunti ya Google Wallet, ikiwa ni pamoja na maelezo tunayoyakusanya na jinsi tunavyoyashiriki. Tunashiriki tu maelezo ya kibinafsi na wahusika wengine katika hali zilizofafanuliwa katika Ilani ya Faragha ya Wallet. Nambari za kadi za mkopo na kadi za matumizi unazoingiza katika akaunti yako ya Google Wallet zinasimbwa kwa njia fiche na kuhifadhiwa kwenye seva salama katika eneo salama.