deals – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      14 Results   12 Domains
  maps.google.ca  
When shopping online, research the seller and be wary of suspiciously low prices just like you would if you were buying something at a local store. Scrutinize online deals that seem too good to be true.
Unapofanya ununuzi mtandaoni. tafiti muuzaji na jihadhari na bei za chini sana zinazotia mashaka kama tu unaponunua kitu katika duka la mtaa. Chunguza kwa undani mipango mtandaoni inayoonekana mizuri mno kuwa kweli. Hakuna anayetaka kuhadaiwa kununua bidhaa bandia. Watu wanaokuahidi bidhaa au huduma ghali zisizopunguzwa bei bure au kwa punguzo la 90% wana uwezekano wa kuwa na nia mbaya. Ikiwa unatumia Gmail, unaweza kuona onyo sehemu ya juu ya skrini yako ikiwa unaangalia barua pepe ambayo mfumo wetu unasema inaweza kuwa ulaghai – ukiona onyo hili, fikiria zaidi kabla ujibu barua pepe hiyo.
  www.google.ad  
When shopping online, research the seller and be wary of suspiciously low prices just like you would if you were buying something at a local store. Scrutinize online deals that seem too good to be true.
Huenda ujumbe usiwe wa nia njema ikiwa utakupongeza kwa kuwa mgeni nambari milioni moja kutembelea tovuti, unakupa kompyuta kibao au zawadi zingine ukijibu maswali ya utafiti au kutangaza njia za haraka na rahisi za kutengeneza pesa au kupata kazi ("tajirika kwa haraka ukifanya kazi kutoka nyumbani kwa saa mbili tu kila siku!" Ikiwa mtu atakwambia wewe ni mshindi na akuulize ujaze maelezo yako ya kibinfasi kwenye fomu, usishawishike kuanza kuijaza. Hata usipogonga kitufe cha "wasilisha", bado unaweza ukawa unatuma maelezo yako kwa walaghai ikiwa utaanza kuweka data yako katika fomu zao.