everything you want – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 1 Result  www.google.pl
  Know your web – Good to...  
The Internet can be a wonderful tool – a way to learn, share, explore, connect and more. But using new technology or products can sometimes seem daunting, and may keep you from doing everything you want to do online.
Intaneti inaweza kuwa zana ya ajabu – ni njia ya kujifahamisha, kushiriki, kuchunguza, kushirikiana na mengine mengi. Lakini kutumia teknolojia au bidhaa mpya kunaweza kuonekana kugumu wakati mwingine, na kunaweza kukuzuia usifanye kila kitu unachotaka kufanya mtandaoni. Iwe unaanza tu au tayari ni mtaalamu, ni muhimu kuelewa bidhaa na huduma unazotaka kutumia na jinsi ya kuzitumia vyema – ili uufahamu wavuti.