free of charge – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      24 Results   14 Domains
  www.google.ad  
Advertising keeps Google and many of the websites and services you use free of charge. We work hard to make sure that ads are safe, unobtrusive, and as relevant as possible. For example, you won’t see pop-up ads on Google, and we terminate the accounts of hundreds of thousands of publishers and advertisers that violate our policies each year – including ads containing malware, ads for counterfeit goods, or ads that attempt to misuse your personal information.
Matangazo hukuwezesha kutumia Google na tovuti na huduma nyingi unazotumia bila malipo. Sisi hutia bidii kuhakikisha kuwa matangazo ni salama, yasiyosumbua na yanakufaa zaidi iwezekanavyo. Kwa mfano, hutaona matangazo ibukizi kwenye Google na tunazifunga akaunti za mamia ya maelfu ya wachapishaji na watangazaji wanaokiuka sera zetu kila mwaka – pamoja na matangazo yaliyo na programu hasidi, matangazo ya bidhaa bandia au matangazo yanayojaribu kutumia vibaya maelezo yako ya kibinafsi.
  2 Hits www.google.de  
Advertising keeps Google and many of the websites and services you use free of charge. We work hard to make sure that ads are safe, unobtrusive and as relevant as possible. For example, you won’t see pop-up ads on Google and we terminate the accounts of hundreds of thousands of publishers and advertisers that violate our policies each year – including ads containing malware, ads for counterfeit goods or those that attempt to misuse your personal information.
Ili kusaidia washirika wetu kudhibiti matangazo yao na tovuti, sisi hutoa bidhaa nyingi, ikiwa ni pamoja na AdSense, AdWords, Google Analytics, na huduma mbalimbali zilizochapishwa za DoubleClick. Unapotembelea ukurasa ambao unatumia moja ya bidhaa hizi, iwe kwa moja ya tovuti za Google au mmoja wa washirika wetu, vidakuzi mbalimbali vinaweza kutumwa kwenye kivinjari chako.