have a future – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      14 Results   2 Domains
  9 Hits www.sounddimensionsmusic.com  
“Dear children! With joy I am with you also today and I call all of you, little children, pray, pray, pray so as to comprehend the love which I have for you. My love is stronger than evil, little children, therefore draw closer to God so as to feel my joy in God. Without God, little children, you do not have a future, you do not have hope or salvation; therefore leave evil and choose good. I am with you and, with you, I intercede before God for all of your needs. Thank you for having responded to my call. ”
“Wanangu wapendwa, hata leo kwa furaha nipo pamoja nanyi na ninawaalika wote, wanangu, salini, salini, salini, ili muweze kuelewa upendo nilio nao kwenu. Upendo wangu una nguvu kuliko uovu, kwa hiyo wanangu mjongeeni Mungu ili muweze kuonja furaha yangu kwa Mungu. Pasipo Mungu, wanangu, hamtakuwa na wakati ujao, wala tumaini, wala wokovu, kwa hiyo acheni uovu na chagueni wema: Mimi nipo pamoja nanyi na pamoja nanyi namwomba Mungu kwa mahitaji yenu yote. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”