i love – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      100 Results   6 Domains
  2 Hits wordplanet.org  
1 The elder unto the elect lady and her children, whom I love in the truth; and not I only, but also all they that have known the truth;
1 Mzee, kwa mama mteule na watoto wake niwapendao katika kweli; wala si mimi peke yangu, bali na wote waijuao ile kweli;
  www.bresor.be  
The word Allah cannot be applied to any created thing. Other words that people use for Almighty are also applied to created things. For example, “the almighty dollar.” “Oh I love my wife, she is tops!” Or, “He’s the greatest.”
Waislamu kutumia neno la Kiarabu kwa Mungu, Mwenyezi Mungu, kwa sababu katika Kiarabu hakuna kujieleza mengine. Neno Allah haiwezi kutumika kwa jambo lolote kuundwa. Yaani kwamba watu kutumia Mwenyezi na pia kutumika kwa Muumba wa vitu. Kwa mfano, “dola mwenyezi.” “Oh nampenda mke wangu, yeye ni juu!” Au, “Yeye ni mkubwa.” Hapana, hapana, hapana, hapana ... Lakini neno ‘Allah’ inaweza tu kutumika kwa Mmoja ambao ameumbaa yote haya ilivyoelezwa hapo awali. Hivyo kutokana na hatua hii, mimi nina kwenda kutumia neno ‘Allah’ na unajua ni nani nazungumza kuhusu.
  69 Hits www.sounddimensionsmusic.com  
“Dear children, open your hearts and try to feel how much I love you and how much I desire for you to love my Son. I desire for you to come to know him all the better, because it is impossible to know him and not to love him – because he is love. I, my children, know you. I know your pain and suffering because I lived through them. I laugh with you in your joy and I cry with you in your pain. I will never leave you. I will always speak to you with motherly tenderness. And I, as a mother, need your open hearts to spread the love of my Son with wisdom and simplicity. I need you to be open and sensitive to the good and mercy. I need you to be united with my Son, because I desire for you to be happy and to help me to bring happiness to all of my children. My apostles, I need you to show everyone the truth of God, so that my heart, which suffered and today suffers so much pain, can win in love. Pray for the holiness of your shepherds, so that in the name of my Son they could work miracles, because holiness works miracles. Thank you. ”
“Wanangu wapendwa, fungueni mioyo yenu mkajaribu kuhisi jinsi ninavyowapenda na kutaka mpendeni Mwanangu. Nataka mpende zaidi kwa kuwa haiwezekani kumjua pasipo kumpenda, maana Yeye ndiye upendo. Wanangu, mimi nawajueni: najua maumivu yenu na mateso yenu maana niliyaishi. Nafurahi pamoja nanyi kwa furaha zenu. Nalia machozi pamoja nanyi katika maumivu yenu. Sitawaacheni kamwe. Nitaongea nanyi daima kwa upole wa kimama na, kama mama, nahitaji mioyo yenu ifumbuliwe, ili kwa hekima na unyofu mueneze upendo wa Mwanangu. Nawahitaji ninyi mfumbuliwe na kuwa wepesi kupokea mema na huruma. Nahitaji muungano wenu na Mwanangu, kwa maana nataka mpate kufanikiwa na kumsaidia kuleta heri kwa wanangu wote. Mitume wangu, nawahitaji, ili muwaonyeshe wote ukweli wa Mungu, ili moyo wangu, ulioteswa na kuteswa hata leo kupita kiasi, uweze kushinda katika upendo. Salini kwa ajili ya utakatifu wa wachungaji wenu, ili katika jina la Mwanangu, waweze kutenda maajabu, maana utakatifu hutenda maajabu. Nawashukuru. ”