immeasurable – Swahili Translation – Keybot Dictionary
TTN Translation Network
TTN
TTN
Login
Deutsch
Français
Source Languages
Target Languages
Select
Select
Keybot
69
Results
2
Domains
20 Hits
ec.jeita.or.jp
Show text
Show cached source
Open source URL
“Dear children! Open your hearts to the grace which God is giving you through me, as a flower that opens to the warm rays of the sun. Be prayer and love for all those who are far from God and His love. I am with you and I intercede for all of you before my Son Jesus, and I love you with
immeasurable
love. Thank you for having responded to my call. ”
Compare text pages
Compare HTM pages
Open source URL
Open target URL
Define
medjugorje.ws
as primary domain
“Wanangu wapendwa! Mnaona, mnasikia na kuhisi kwamba katika mioyo ya watu wengi hakuna Mungu. Hawamtaki kwa maana wapo mbali na sala na hawana amani mioyoni. Ninyi, wanangu, salini, na isheni kadiri ya amri za Mungu. Muwe sala, enyi mlioitikia "naam" tangu mwanzo wa mwaliko wangu. Mshuhudieni Mungu na mtambue uwepo wangu wala msisahau, wanangu, ya kuwa mimi ni pamoja nanyi na ninawapenda. Siku hata siku nawachukua kwa Mwanangu Yesu. Asanteni kwa kuitikia mwaliko wangu. ”
49 Hits
www.sounddimensionsmusic.com
Show text
Show cached source
Open source URL
“Dear children! Also today the Most High gives me the grace to be able to love you and to call you to conversion. Little children, may God be your tomorrow and not war and lack of peace; not sorrow but joy and peace must begin to reign in the heart of every person - but without God you will never find peace. Therefore, little children, return to God and to prayer so that your heart may sing with joy. I am with you and I love you with
immeasurable
love. Thank you for having responded to my call. ”
Compare text pages
Compare HTM pages
Open source URL
Open target URL
Define
pda.medjugorje.ws
as primary domain
“Wanangu wapendwa! Hata leo Yeye Aliye Juu ananipa neema ya kuweza kuwapenda na kuwaalika muweze kuongoka. Wanangu, Mungu awe kesho yenu, vita, wasiwasi, huzuni yasiwatawale, ila furaha na amani zitawale mioyoni mwa watu wote, na mjue kuwa pasipo Mungu hamtapata kamwe amani. Kwa hiyo, wanangu, mrudieni Mungu na sala ili mioyo yenu iimbe kwa furaha. Mimi nipo pamoja nanyi na ninawapenda kwa upendo usio na kipimo. Asanteni kwa kuitikia mwaliko wangu. ”