in love – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      83 Results   5 Domains
  wordplanet.org  
4 According as he hath chosen us in him before the foundation of the world, that we should be holy and without blame before him in love:
4 kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.
  47 Hits www.sounddimensionsmusic.com  
“Dear children! Today I am carrying my love to you. God permitted me to love you and, out of love, to call you to conversion. You, little children, are poor in love and you still have not comprehended that my Son Jesus, out of love, gave His life to save you and to give you eternal life. Therefore pray, little children, pray so that in prayer you may comprehend God‘s love. Thank you for having responded to my call. ”
“Wanangu wapendwa! Leo ninawaletea upendo wangu. Mungu ameniruhusu kuwapenda ninyi na kwa upendo nawaalika mwongoke. Wanangu, ninyi ni maskini katika upendo, na wala hamjaelewa bado ya kuwa Mwanangu Yesu ametolea maisha Yake ili awaokoeni na kuwapa uzima wa milele. Kwa hiyo salini wanangu, salini ili muweze kuelewa katika sala upendo wa Mungu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
  www.pep-muenchen.de  
You won't constantly be trying to figure out the next step. It is because you have entrusted your life, family and future into his safe and loving hands. Our great Shepherd knows perfectly how to protect and preserve his flock because he leads us in love.
Nikimalizia, narudi kwa lile Swali la Yesu kwa Filipo: “Unafikiri tufanye nini?” Jameni jibu letu liwe hili: “Bwana, wewe ndiwe mtenda miujiza. Napeana shaka zangu zote na uoga wangu wote kwako. Ninapeana mikasa na maisha yangu katika uchungaji wako. Najua huta niacha nizimie. Kwa kweli, ninajua lile utakalo tenda kuhusu shida zangu. Ninaamini nguvu zako.” Amina!
  27 Hits ec.jeita.or.jp  
Dear children, All that my Son, who is the light of love, has done and does, He has done out of love. Also you, my children, when you live in love and love your neighbors, you are doing the will of my Son.
Wanangu wapendwa, Mwanangu, aliye mwanga wa upendo, yote aliyoyafanya na anayoyafanya hufanya kwa ajili ya upendo. Vivyo hivyo nanyi, wanangu, mnapoishi katika upendo, mnapompenda jirani yenu na mnapofanya mapenzi yake. Enyi mitume wa upendo wangu, jifanyeni wadogo! Mfungulieni Mwanangu mioyo yenu safi, ili Yeye aweze kutenda kazi kwa njia yenu. Kwa msaada wa imani, mjijazie upendo. Lakini, wanangu, msisahau ya kuwa Ekaristi ndiyo kiini cha imani. Yeye ndiye Mwanangu anayewalisheni kwa Mwili wake na kuwaimarisheni kwa Damu yake. Yeye ndiye ajabu ya upendo: Mwanangu ajaye tena mwenye uhai ili kuzifufua nafsi. Wanangu, mkiishi katika upendo, ninyi mnafanya mapenzi ya Mwanangu naye huishi ndani yenu. Wanangu, matakwa yangu ya kimama ni kwamba mpendeni zaidi na zaidi, maana Yeye anawapenda kwa upendo wake. Anawapa upendo wake ili muweze kuueneza kwa watu wote kandokando yenu. Kwa njia ya upendo wake, kama mama mimi nipo pamoja nanyi kuwaambieni maneno ya upendo na matumaini, kuwaambieni maneno ya milele na ya kushinda wakati na mauti, kuwaalikeni kuwa mitume wangu wa upendo. Nawashukuru!