layer of security – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      36 Results   9 Domains
  5 Hits www.google.li  
On many computers, you can lock your screen by going into your computer’s Systems Preferences. For your phone or tablet, locking your device with a PIN or pattern helps provide an extra layer of security for your data.
Kwenye kompyuta nyingi, unaweza kuzima kompyuta yako kwa kwenda katika Mapendeleo ya Mfumo ya kompyuta yako. Kwa simu yako au kompyuta ndogo, kufunga kifaa chako kwa PIN au mchoro kunasaidia kutoa safu ya ziada ya usalama kwa data yako. Kwenye vifaa vya Android, unaweza kuweka kufuli lako kwa kufuata hatua hizi rahisi zifuatazo.
  5 Hits www.google.com.mt  
You can add an extra layer of security to your Google Account by enabling 2-step verification. If you have 2-step verification turned on, Google will send a passcode to your mobile phone when someone tries to sign into your account from an unfamiliar computer.
Unaweza kuongeza safu ya ziada ya usalama kwenye Akaunti yako ya Google kwa kuwasha uthibitishaji wa hatua mbili. Kama umewasha uthibitishaji wa hatua mbili, Google itatuma nambari ya siri kwenye simu yako ya mkononi mtu atakapojaribu kuingia katika akaunti yako kutoka kompyuta isiyofahamika. Hii inamaanisha kuwa ikiwa mtu fulani ataiba au kukisia nenosiri lako, yeye hawezi kuingia kwenye akaunti yako kwa sababu hana simu yako. Sasa unaweza kujilinda ukitumia jambo ambalo unajua ( nenosiri lako) na jambo ulilo nalo (simu yako).
  3 Hits www.google.co.ke  

  mail.google.com  

  5 Hits www.google.ad  

  4 Hits www.google.de  
Once you’ve created a password for your Google Account, we encourage you to add an extra layer of security by enabling 2-step verification. 2-step verification requires you to have access to your phone, as well as your username and password, when you sign in.
Pindi tu unapounda nenosiri la Akaunti yako ya Google, tunakuhimiza uongeze safu ya ziada ya usalama kwa kuwezesha uthibitishaji wa hatua mbili. Uthibitishaji wa hatua mbili unakuhitaji kufikia simu yako, pamoja na jina lako la mtumiaji na nenosiri, unapoingia. Hii inamaanisha kuwa ikiwa mtu fulani ataiba au kudadisi nenosiri lako, mwingiaji kwenye akaunti bila idhini aliyepo bado hawezi kuingia kwenye akaunti yako kwa sababu hana simu yako. Sasa unaweza kujilinda kwa jambo ambalo unajua ( nenosiri lako) na jambo ulilo nalo (simu yako).
  4 Hits www.google.no  
To bring even stronger levels of protection to your Google Account, we offer 2-step verification to our users. This tool adds an extra layer of security by requiring not just a password, but also a verification code to sign in to a Google Account.
Ili kuleta hata viwango thabiti zaidi vya ulinzi kwenye Akaunti yako ya Google, tunatoa uthibitishaji wa hatua 2 kwa watumiaji wetu. Zana hii inaongeza safu ya ziada ya usalama kwa kuomba sio tu nenosiri, lakini pia msimbo wa kuthibitisha ili kuingia kwenye Akaunti ya Google. Hata ikiwa nenosiri lako litavurugwa, kubashiriwa, au kuibwa, mshambuliaji hawezi kuingia kwenye akaunti yako bila kuingiza msimbo wa kudhibitisha tutakayotuma kwenda simu yako ya mkononi. Tunatoa uthibitishaji wa hatua 2 kwa zaidi ya lugha 50 na nchi 175. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kuweka uthibitishaji wa hatua 2 hapa.