leading you – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      16 Results   2 Domains
  11 Hits www.sounddimensionsmusic.com  
“Dear children! Also today I am calling you to be prayer. May prayer be for you the wings for an encounter with God. The world is in a moment of trial, because it forgot and abandoned God. Therefore you, little children, be those who seek and love God above all. I am with you and I am leading you to my Son, but you must say your ‘yes’ in the freedom of children of God. I intercede for you and I love you, little children, with an endless love. Thank you for having responded to my call. ”
“Wanangu wapendwa, hata leo ninawaalika: muwe sala. Sala iwe mabawa kwa ajili ya mkutano kati yenu na Mungu. Ulimwengu upo katika wakati wa kujaribiwa, kwa maana umemsahau na kumwacha Mungu. Kwa hiyo wanangu, muwe wale wanaomtafuta na kupenda Mungu kuliko yote. Mimi nipo pamoja nanyi na kuwaongoza kwa Mwanangu, lakini ninyi hamna budi kunena "NDIYO" yenu katika uhuru wa wana wa Mungu. Nawaombeeni na kuwapenda, wanangu, kwa upendo usio na mwisho. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”