like you – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      38 Results   15 Domains
  badoo.com  
You should behave the same way on Badoo as you would in real life. Be nice to people you meet online, like you would be face to face.
Jiheshimu unapokuwa Badoo kama unavyojiheshimu kwa kawaida katika maisha yako. Uwe mtu mzuri kwa watu unaokutana nao katika mtandao, kama unavyofanya ukikutana nao uso kwa uso.
  6 Hits glowinc.vn  
Claudia Meister on Wooden hot tubGood morning, we are very interested in your products, Hot tube and sauna barrel. Can you please send us the price lists? We would like to contact later like you to discuss details. Thank you very much
Claudia Meister on Wooden WHIRLPOOLHabari za asubuhi Sisi ni hamu sana katika bidhaa yako, Moto Tube sowie Saunafass. Je, unaweza tafadhali tutumie orodha ya bei? Tunataka baadaye kama kuwasiliana na wewe ili kujadili maelezo zaidi. Shukrani nyingi
  images.google.co.uk  
From a computer’s perspective, that same image is simply a load of data that it may interpret as shapes and information about colour values. While a computer won’t react like you do when you see that photo, a computer can be trained to recognise certain patterns of colour and shapes.
Kompyuta "hazioni" picha na video kwa njia sawa ambayo watu huona. Unapoangalia picha, unaweza kuona rafiki yako umpendaye amesimama mbele ya nyumba yake. Kwa mtazamo wa kompyuta, picha hiyo moja ni rundo la data ambalo linaweza kutafsiri kama maumbo na maelezo kuhusu uhusiano wa rangi. Ingawa kompyuta haitafanya kama wewe ufanyavyo unapoona picha hiyo, kompyuta inaweza kufunzwa kutambua michoro fulani ya rangi na maumbo. Kwa mfano, kompyuta inaweza kufunzwa kutambua michoro ya kawaida ya maumbo na rangi ambayo inatengeneza picha ya dijitali ya uso. Mchakato huu unajulikana kama ugunduaji wa uso, na ni teknolojia ambayo husaidia Google kulinda faragha yako kwenye huduma kama Street View, ambapo kompyuta hujaribu kugundua na kisha kutia ukungu nyuso za watu ambao wanaweza kuwa wamesimama mtaani wakati gari la Street View linapopita. Ndiyo pia husaidia huduma kama vile Picha za Google+ kupendekeza kwamba uweke lebo kwenye picha au video, kwa kuwa inaonekana kana kwamba kuna uso. Ugunduaji wa uso hautakuambia uso ni wa nani, lakini unaweza kusaidia kutafuta nyuso katika picha zako.
  maps.google.it  
From a computer’s perspective, that same image is simply a bunch of data that it may interpret as shapes and information about color values. While a computer won’t react like you do when you see that photo, a computer can be trained to recognize certain patterns of color and shapes.

  images.google.it  

  2 Hits www.google.co.ke  
We also built technology into Chrome that helps make sure a secure connection is really secure. Criminals can be very sophisticated, and can launch attacks to spy on the information you send to a website even though it might seem like you are securely connected.
Pia tulijenga teknolojia ndani ya Chrome inayosaidia kuhakikisha muunganisho salama kweli ni salama. Wahalifu wanaweza kuwa na utaalamu wa juu sana, na wanaweza kufanya mashambulizi ili kudadisi kwenye maelezo unayotuma kwenye tovuti hata kama itaonekana ni kama muunganisho wako ni salama. Kutumia teknolojia yetu ya Chrome, tumegundua mashambulizi kama haya kipindi cha nyuma, na tukafikia watumiaji, makampuni ya vivinjari na wasanidi programu wengine ili kusaidia kuwashinda wahalifu kwa pamoja.
  2 Hits maps.google.ca  
When shopping online, research the seller and be wary of suspiciously low prices just like you would if you were buying something at a local store. Scrutinize online deals that seem too good to be true.
Unapofanya ununuzi mtandaoni. tafiti muuzaji na jihadhari na bei za chini sana zinazotia mashaka kama tu unaponunua kitu katika duka la mtaa. Chunguza kwa undani mipango mtandaoni inayoonekana mizuri mno kuwa kweli. Hakuna anayetaka kuhadaiwa kununua bidhaa bandia. Watu wanaokuahidi bidhaa au huduma ghali zisizopunguzwa bei bure au kwa punguzo la 90% wana uwezekano wa kuwa na nia mbaya. Ikiwa unatumia Gmail, unaweza kuona onyo sehemu ya juu ya skrini yako ikiwa unaangalia barua pepe ambayo mfumo wetu unasema inaweza kuwa ulaghai – ukiona onyo hili, fikiria zaidi kabla ujibu barua pepe hiyo.
  2 Hits www.google.de  
We also built technology into Chrome that helps make sure a secure connection is really secure. Criminals can be very sophisticated, and can launch attacks to spy on the information you send to a website even though it might seem like you are securely connected.
Pia tulijenga teknolojia ndani ya Chrome inayosaidia kuhakikisha muunganisho salama kweli ni salama. Wahalifu wanaweza kuwa na utaalamu wa juu sana, na wanaweza kufanya mashambulizi ili kudadisi kwenye maelezo unayotuma kwenye tovuti hata kama itaonekana ni kama muunganisho wako ni salama. Kutumia teknolojia yetu ya Chrome, tumegundua mashambulizi kama haya kipindi cha nyuma, na tukafikia watumiaji, makampuni ya vivinjari na wasanidi programu wengine ili kusaidia kuwashinda wahalifu kwa pamoja.
  2 Hits www.google.ie  

  2 Hits mail.google.com  

  www.google.ad  
When shopping online, research the seller and be wary of suspiciously low prices just like you would if you were buying something at a local store. Scrutinize online deals that seem too good to be true.
Huenda ujumbe usiwe wa nia njema ikiwa utakupongeza kwa kuwa mgeni nambari milioni moja kutembelea tovuti, unakupa kompyuta kibao au zawadi zingine ukijibu maswali ya utafiti au kutangaza njia za haraka na rahisi za kutengeneza pesa au kupata kazi ("tajirika kwa haraka ukifanya kazi kutoka nyumbani kwa saa mbili tu kila siku!" Ikiwa mtu atakwambia wewe ni mshindi na akuulize ujaze maelezo yako ya kibinfasi kwenye fomu, usishawishike kuanza kuijaza. Hata usipogonga kitufe cha "wasilisha", bado unaweza ukawa unatuma maelezo yako kwa walaghai ikiwa utaanza kuweka data yako katika fomu zao.