like your name – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 1 Result  maps.google.sk
  Privacy Policy – Polici...  
For example, many of our services require you to sign up for a Google Account. When you do, we’ll ask for personal information, like your name, email address, telephone number or credit card. If you want to take full advantage of the sharing features we offer, we might also ask you to create a publicly visible Google Profile, which may include your name and photo.
Maelezo unayotupa. Huduma zetu nyingi zinahitaji ujisajili kwenye Akaunti ya Google. Unapofanya hivyo, tutakuuliza maelezo ya kibinafsi, kama vile jina lako, anwani ya barua pepe, nambari ya simu au kadi ya mkopo. Kama unataka kupata manufaa kamili ya vipengee vya kushiriki tunavyozitoa, tunaweza kukuomba ubuni Maelezo Yako Mafupi ya Google yatakayokuwa wazi kwa umma, ambayo yanaweza kujumuisha jina lako na picha yako.