notify – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      28 Results   17 Domains
  3 Hits www.rita.go.tz  
2: To notify change of name of the body corporate.
2: Kutaarifu juu ya mabadiliko ya jina la chombo/au marekebisho yoyote kwa ujumla.
  maps.google.it  
Know how to notify us if you find content that shouldn’t be on sites like Google+, YouTube and Blogger.
Kuwapa wazazi na walimu nyenzo za kuwasaidia kuchagua maudhui ambayo watoto wao wataona kwenye intaneti
  maps.google.pl  
Know how to notify us if you find content that shouldn’t be on sites like Google+, YouTube and Blogger.
Tazama video zaidi kuhusu usalama kwenye kituo chetu cha YouTube
  3 Hits www.google.fr  
We provide information to help copyright holders manage their intellectual property online. If you think somebody is violating your copyrights and want to notify us, you can find information about submitting notices and Google’s policy about responding to notices in our Help Center.
Tunatoa habari kusaidia wenye hakimilki wadhibiti haki zao za uvumbuzi mtandaoni. Kama unafikiria kuna mtu anayekiuka hakimiliki zako na unataka kutujulisha, unaweza kupata maelezo kuhusu jinsi ya kuwasilisha taarifa na sera ya Google kuhusu kujibu ilani kwenye Kituo chetu cha Msaada.
  www.rewardsforjustice.net  
A cookie is an element of data that a web site can send to your browser, which may then store it on your system. You can set your browser to notify you when you receive a cookie, giving you the chance to decide whether to accept it.
Vielelezo ni teknolojia ambayo inaweza kutumiwa kukupatia wewe habari ambayo imeandaliwa kutoka kwenye mtandao. Kielelezo ni kigezo cha takwimu ambacho mtandao unaweza kukupeleka wewe, ambapo unaweza kuihifadhi kwenye utaratibu wako. Unaweza kujiwekea utaratibu wa kukufahamisha pale utakapopata kielelezo, na kukupa fursa ya kuamua kama unaukubali.
  www.google.cn  
We provide information to help copyright holders manage their intellectual property online. If you think somebody is violating your copyrights and want to notify us, you can find information about submitting notices and Google’s policy about responding to notices in our Help Center.
Tunatoa habari kusaidia wenye hakimilki wadhibiti haki zao za uvumbuzi mtandaoni. Kama unafikiria kuna mtu anayekiuka hakimiliki zako na unataka kutujulisha, unaweza kupata maelezo kuhusu jinsi ya kuwasilisha taarifa na sera ya Google kuhusu kujibu ilani kwenye Kituo chetu cha Msaada.
  privacy.google.com  
To protect your account from bad guys, we keep an eye out for unusual activity and notify you when something does not seem right. For example, if an unknown device attempts to sign in to your account or if your account recovery information is changed, we contact you right away to confirm that this activity is yours.
Kulinda akaunti yako kutoka kwa watu wabaya, tunaangalia kwa makini ili kutambua shughuli isiyo ya kawaida na kukujulisha wakati kuna kitu chochote kinachotiliwa shaka. Kwa mfano, kama kifaa kisichojulikana kikijaribu kuingia katika akaunti yako au maelezo yako ya mbinu za kurejesha uwezo wa kufikia akaunti yakibadilishwa, tunawasiliana nawe mara moja ili uthibitishe kuwa shughuli hii ni yako. Utapokea arifa kupitia barua pepe. Pia, unaweza kujisajili ili kupokea SMS kwenye simu yako.
  local.google.com  
We provide information to help copyright holders manage their intellectual property online. If you think somebody is violating your copyrights and want to notify us, you can find information about submitting notices and Google’s policy about responding to notices in our Help Center.
Tunatoa habari kusaidia wenye hakimilki wadhibiti haki zao za uvumbuzi mtandaoni. Kama unafikiria kuna mtu anayekiuka hakimiliki zako na unataka kutujulisha, unaweza kupata maelezo kuhusu jinsi ya kuwasilisha taarifa na sera ya Google kuhusu kujibu ilani kwenye Kituo chetu cha Msaada.
  2 Hits www.google.co.ke  
Most operating systems and software will notify you when it’s time to upgrade – don’t ignore these messages and update as soon as you can. Old versions of software can sometimes have security problems that criminals can use to more easily get to your data.
Mifumo mingi ya uendeshaji na programu zitakutaarifu wakati wa kusasisha unapofika – usipuuze ujumbe huu na sasisha haraka uwezavyo. Matoleo ya kale ya programu yanaweza wakati mwingine kuwa na matatizo ya kiusalama ambayo wahalifu wanaweza kutumia ili kupata data yako kwa urahisi. Kivinjari cha Chrome cha Google kinajisasisha otomatiki hadi toleo la kisasa kabisa kila unapokianzisha, ili uweze kupata usalama wa ulinzi uliosasishwa bila kazi yoyote ya ziada.
  2 Hits www.google.de  

  2 Hits www.google.li  

  3 Hits www.google.ie  