so be careful – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      16 Results   10 Domains
  www.google.com.mt  
If you see a message from someone you know that doesn’t seem like them, their account may have been compromised by a cyber criminal who is trying to get money or information from you – so be careful how you respond.
Ukiona ujumbe kutoka kwa mtu unayemfahamu ambao hauonekani kama umetumwa na yeye, huenda akaunti yake imevamiwa na mhalifu wa mtandaoni ambaye anajaribu kupata pesa au maelezo kutoka kwako - hivyo kuwa mwangalifu jinsi unavypojibu. Mbinu za kawaida ni pamoja na kukuuliza umtumie pesa kwa dharura, akidai ametelekezwa katika nchi nyingine au akisema kuwa simu yake imepotea kwa hivyo hawezi kupigiwa. Ujumbe huo pia unaweza ukakwambia ubofye kiungo ili uone picha, makala au video, ambayo kwa kweli itakupeleka kwenye tovuti ambayo inaweza kukuibia maelezo yako - hivyo fikiria kabla hujabofya!
  3 Hits www.google.ie  
If you see a message from someone you know that doesn’t seem like them, their account may have been compromised by a cyber criminal who is trying to get money or information from you – so be careful how you respond.
Ikiwa unaona ujumbe kutoka kwa mtu unayemfahamu ambao hauonekani kama yeye, akaunti yake inaweza ikawa imeathiriwa na mhalifu wa mtandaoni ambaye anajaribu kupata pesa au maelezo kutoka kwako - hivyo kuwa mwangalifu jinsi unavypojibu. Mbinu za kawaida ni pamoja na kukuuliza uwatumie pesa kwa dharura, wakidai wametelekezwa katika nchi nyingine au wakisema kuwa simu zao zimepotea ili wasiweze kupigiwa. Ujumbe huo pia unaweza ukakwambia ubofye kwenye kiungo ili uone picha, makala au video, ambayo kwa kweli itakuongoza kwenda kwa tovuti ambayo inaweza kukuibia maelezo yako - hivyo fikiria kabla hujabofya!
  2 Hits www.google.de  

  2 Hits maps.google.ca  

Usijaze fomu zozote au skrini za kuingia ambazo zinaweza zikawa zimeunganishwa kwenye ujumbe huo. Ikiwa mtu shukiwa atakuuliza ujaze fomu na maelezo yako binafsi usijaribiwe ili kuanza kuzijaza. Hata kama usipogonga kitufe cha "wasilisha", bado unaweza ukawa unatuma maelezo yako kwa wezi wa utambulisho ikiwa unaanza kuweka data yako katika fomu zao.
  2 Hits mail.google.com  