to ensure that – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      19 Results   9 Domains
  www.rita.go.tz  
Better protection of country wide data on vital statistics birth registration statistics are fundamental to informed planning to ensure that the basic needs of children are met.
Ulinzi bora zaidi wa data za nchi nzima kuhusu takwimu muhimu, takwimu za usajili wa uzazi ni muhimu zaidi kwa utayarishaji mipango wa uhakika kuhakikisha kuwa mahitaji ya watoto ya msingi yanatimizwa.
  www.rewardsforjustice.net  
For site security purposes and to ensure that this service remains available to all users, the Rewards for Justice program uses software programs to monitor network traffic to identify unauthorized attempts to upload or change information or otherwise cause damage.
Kwa malengo ya usalama wa mtandao na kuhakikisha kwamba huduma hii inaendelea kupatikana kwa watumiaji wote, Mpango wa Tuzo kwa Haki unatumia programu za kompyuta kusimamia matumizi ya mtandao kutambua majaribio ambayo hayakuidhinishwa kuchukua au kubadili habari au vinginevyo kusababisha uharibifu. Majaribio ambayo hayakuidhinishwa kuchukua habari au kubadili habari katika huduma hii yanapingwa vikali na huenda yakapelekea kutolewa adhabu kwa mujibu wa sheria ya mwaka 1986 kuhusu Wizi na Matumizi Mabaya ya kompyuta. Habari hiyo pia huenda ikatumiwa kuidhinisha uchunguzi wa kisheria. Isipokuwa kwa malengo yaliyoelezewa hapo juu, hakuna majaribio mengine yoyote yatakayofanywa kuwatambua watumiaji binafsi au tabia za matumizi yao.