whether you want – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      37 Results   11 Domains
  2 Hits www.google.co.ke  
Many browsers will warn you if you try to go to a website that is suspected of hosting malware. If you get a warning that a site you want to visit may not be safe, look at the URL and think carefully about whether you want to visit the site or not.
Vivinjari vingine vitakuonya endapo utajaribu kuenda kwenye tovuti ambayo inashukiwa kupangisha programu hasidi. Ukipata onyo kuwa tovuti unayotaka kutembelea huweza isiwe salama, angalia URL na fikiria kwa umakini kuhusu endapo unataka kuitembelea hiyo tovuti au la. Hata kama umeitembelea hiyo tovuti hapo awali, huenda wahalifu wakaathiri tovuti tangu mara ya mwisho ulipoitembelea, kwa hivyo huenda isiwe salama kuondoka hadi mmiliki wa tovuti asafishe tovuti yake.
  2 Hits www.google.li  
On phones powered by Android, you can see what an app will request do with your phone by looking at the description in Google Play that says “permissions.” Look at this information before you download an app to help decide whether you want to get it or not.
Kwenye simu zinazoendeshwa na Android, unaweza kuona kitu ambacho programu itaomba kufanya na simu yako kwa kuangalia kwenye maelezo katika Google Play yanayosema "Idhini." Angalia maelezo haya kabla hujapakua programu ili yakusaidie kuamua ikiwa unataka kuipata au la. Kwa mfano, ikiwa unajitayarisha kupakua programu mpya ya mlio wa simu, unaweza kuona ikiwa programu hiyo inaweza kupiga simu kwa niaba yako. Ikiwa unashuku hilo, unaweza kuamua kutosakinisha programu hiyo.
  www.google.ad  
On phones powered by Android, you can see what an app will request do with your phone by looking at the description in Google Play that says “permissions.” Look at this information before you download an app to help decide whether you want to get it or not.
Kwenye simu zinazotumia mfumo wa Android, unaweza kuona yale ambayo programu itaomba idhini ya kufanya na simu yako kwa kuangalia maelezo katika Google Play chini ya "Idhini." Angalia maelezo haya kabla hujapakua programu ili yakusaidie kuamua ikiwa unataka kuipata au la. Kwa mfano, ikiwa unajitayarisha kupakua programu mpya ya mlio wa simu, unaweza kuona ikiwa programu hiyo inaweza kupiga simu kwa niaba yako. Ikiwa unatilia jambo hilo shaka, unaweza amua kutoisakinisha.
  2 Hits www.google.com.mt  

  2 Hits www.google.de  
Many browsers will warn you if you try to go to a website that is suspected of hosting malware. If you get a warning that a site you want to visit may not be safe, look at the URL and think carefully about whether you want to visit the site or not.
Vivinjari vingine vitakuonya endapo utajaribu kuenda kwenye tovuti ambayo inashukiwa kupangisha programu hasidi. Ukipata onyo kuwa tovuti unayotaka kutembelea huweza isiwe salama, angalia URL na fikiria kwa umakini kuhusu endapo unataka kuitembelea hiyo tovuti au la. Hata kama umeitembelea hiyo tovuti hapo awali, huenda wahalifu wakaathiri tovuti tangu mara ya mwisho ulipoitembelea, kwa hivyo huenda isiwe salama kuondoka hadi mmiliki wa tovuti asafishe tovuti yake.
  2 Hits maps.google.ca  

Angalia sifa ya duka – je, ni chanzo chenye mamlaka, kama duka la programu lililojengewa-ndani la simu au kivinjari chako, au tovuti ya msanidi programu, kinyume na wavuti isiyofahamika ya kupakua ya wengine? Unaweza pia kuangalia sifa ya msanidi programu kwa kuangalia watu wengine wamesema nini kumhusu yeye siku za nyuma. Angalia maoni mtandaoni au maoni hususan kuhusu kipakizi hicho. Ukiona kuwa watu wengi hawakukipenda au walikuwa na wakati mbaya, unaweza usitake kukipakua mwenyewe.
  www.google.fr  

Ukiwa na mashaka, tumia alamisho zinazoaminika za tovuti muhimu, tumia injini tafuti yako ili uabiri kwenda kwa tovuti au chapa anwani ya tovuti moja kwa moja kwenye kivinjari chako. Unapaswa pia kuangalia ili uone kama anwani ya wavuti inaanza na https:// – inayoashiria kuwa muunganisho wako kwenda kwa tovuti umesimbwa kwa njia fiche na ni sugu zaidi kwa kuchungulia au kuchezea.
  2 Hits www.google.ie  
Many browsers will warn you if you try to go to a website that is suspected of hosting malware. If you get a warning that a site you want to visit may not be safe, look at the URL and think carefully about whether you want to visit the site or not.
Vivinjari vingine vitakuonya endapo utajaribu kuenda kwenye tovuti ambayo inashukiwa kupangisha programu hasidi. Ukipata onyo kuwa tovuti unayotaka kutembelea huweza isiwe salama, angalia URL na fikiria kwa umakini kuhusu endapo unataka kuitembelea hiyo tovuti au la. Hata kama umeitembelea hiyo tovuti hapo awali, huenda wahalifu wakaathiri tovuti tangu mara ya mwisho ulipoitembelea, kwa hivyo huenda isiwe salama kuondoka hadi mmiliki wa tovuti asafishe tovuti yake.
  mail.google.com  