word of god – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      15 Results   4 Domains
  4 Hits wordplanet.org  
2 Who bare record of the word of God, and of the testimony of Jesus Christ, and of all things that he saw.
2 aliyelishuhudia Neno la Mungu, na ushuhuda wa Yesu Kristo, yaani, mambo yote aliyoyaona.
  www.bresor.be  
Jesus Christ (PBUH) said that whatever he received from Almighty God was the word of God, and what he heard is what he said! That’s what he did! So how do people call themselves ‘Christians?’ We have to be Christ-like!
Yesu Kristo (AMANI IWE JUU YAKE) alisema kuwa chochote alipokea kutoka kwa Mwenyezi Mungu ni neno la Mungu, na mambo aliyoyasikia alisema! Hiyo ndio alifanya! Hivyo ni jinsi gani watu wanajiita ‘Wakristo?’ Tunapaswa kuwa kama Kristo! Na kuwa Kristo namna gani? Alikuwa mtumishi wa Mungu Mwenyezi; hivyo tunapaswa kuwa watumishi wa Mwenyezi Mungu, hiyo tosha!
  8 Hits www.sounddimensionsmusic.com  
“Dear children; with motherly love I desire to teach you sincerity, because I desire that, in your actions as my apostles, you be exact, resolute, and above all sincere. I desire that, by the grace of God, you be open for a blessing. I desire that by fasting and prayer you obtain from the Heavenly Father the cognition of what is natural and holy – Divine. Filled with cognition, under the shelter of my Son and myself, you will be my apostles who will know how to spread the Word of God to all those who do not know of it; and you will know how to overcome obstacles that will stand in your way. My children, by means of a blessing, God’s grace will descend upon you and you will be able to retain it through fasting, prayer, purification and reconciliation. You will have the efficiency which I seek of you. Pray for your shepherds that the ray of God’s grace may illuminate their ways. Thank you. ”
“Wanangu wapendwa! Ili mpate kuwa mitume wangu na kuweza kusaidia wale walioko katika giza, ili waweze kuujua mwanga wa upendo wa Mwanangu, mnapaswa kuwa na moyo safi na mnyenyekevu. Hamwezi kusaidia ili Mwanangu azaliwe na kutawala mioyoni mwa wale wasiomjua, iwapo Yeye hatawali moyoni mwenu. Mimi nipo pamoja nanyi, natembea pamoja nanyi kama mama, nabisha hodi katika moyo wenu, usioweza kufunguka bila ya kuwa mnyenyekevu. Mimi nasali, lakini salini nanyi pia, wanangu wapendwa, ili muweze kumfungulia Mwanangu moyo wenu safi na mnyenyekevu na hivyo kuweza kupokea vipaji nilivyowaahidi. Hapo ndipo mtakapoongozwa kwa upendo na nguvu za Mwanangu, hapo ndipo mtakuwa mitume wangu, ambao wanaweza kueneza kwa walio karibu yao matunda ya upendo wa Mungu. Kutokana na ninyi na kwa njia yenu Mwanangu atafanya kazi, maana mtakuwa na Yeye kitu kimoja. Moyo wangu wa kimama unatamani muungano wa wanangu wote, kwa njia ya Mwanangu. Kwa upendo mkuu nawabariki na kuwaombea wateule wa Mwanangu, wachungaji wenu, Nawashukuru. ”