you will feel – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      16 Results   5 Domains
  6 Hits www.sounddimensionsmusic.com  
“Dear children! Today, I am calling you to prayer. May prayer be life to you. Only in this way will your heart be filled with peace and joy. God will be near you and you will feel Him in your heart as a friend. You will speak with Him as with someone whom you know and, little children, you will have a need to witness, because Jesus will be in your heart and you, united in Him. I am with you and love all of you with my motherly love. Thank you for having responded to my call. ”
“Wanangu wapendwa! Leo nawaalika kusali. Sala na iwe maisha kwenu. Hivyo tu moyo wenu utajaa amani na furaha. Mungu atakuwa karibu nanyi, nanyi mtamhisi moyoni mwenu kama rafiki. Mtaongea naye kama na mmoja mjuaye na, wanangu, mtaona hitaji la kutoa ushuhuda maana Yesu atakuwa moyoni mwenu na ninyi mtaambatana naye. Mimi ni pamoja nanyi na kuwapenda nyote kwa upendo wangu wa kimama. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
  www.nhk.or.jp  
For several days after a major disaster occurs, you may not be able to acquire daily necessities. You will feel more secure if you have prepared an emergency kit ready for an emergency. The kit should include water (pet bottles), emergency food, torch, batteries, and medicine.
TATAMI ni aina ya matandiko ya kimapokeo ya Japani. TATAMI ni matandiko ambayo sehemu zake za ndani zinatengenezwa kama mabao kwa kutumia mabua ya mpunga yaliyobanwa na zinafunikwa kwa mikeka iliyosukwa kwa nyasi zinazoitwa ‘IGUSA’. Hivi karibuni, maunzi mapya ya ujenzi ya kikemikali yanazidi kutumika badala ya mabua ya mpunga. Sifa yake ni kuwa ina baridi majira ya kiangazi na majira ya baridi ina joto.
  www3.nhk.or.jp  