your faith – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot      71 Results   5 Domains
  10 Hits wordplanet.org  
8 First, I thank my God through Jesus Christ for you all, that your faith is spoken of throughout the whole world.
8 Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa katika dunia nzima.
  www.bresor.be  
And how can you base your faith upon four Gospels that are written by four men that didn’t seem to know their last names? Then, after those four Gospels, there are fifteen more books written by a man who was an apostate who killed Christians, tortured Christians, and then said that he in a vision saw Jesus.
Na jinsi gani unaweza kuweka imani yako juu ya Injili nne yaliyoandikwa na watu wanne ambao hawakuwa wanaonekana kujua majina yao ya mwisho? Kisha, baada ya hayo Injili nne, kuna kumi na tano vitabu zaidi iliyoandikwa na mtu ambaye alikuwa potofu ambaye aliwauwa Wakristo, kutesa Wakristo, na kisha alisema kuwa yeye aliona katika maono Yesu. Na kupewa kuwa mtume wa Yesu. Nikiwaambieni kwamba Hitler, baada ya yeye kuwauwa Wayahudi wote, kisha yeye mwenyewe aliamua kwamba alitaka kuokolewa. Na alikutana na Kristo au Musa kwenye njia na yeye akawa Myahudi. Naye akaandika vitabu kumi na tano na akaongeza kwa Torah - hili laweza kukubaliwa na Wayahudi? La, haikubaliki. Hivyo ni jinsi gani vitabu vinne imeandikwa na watu bila jina la mwisho, na kumi na tano vitabu vingine vilivyoandikwa na mtu mwingine - na hii ndio mara ya kwanza kwa Mungu kuitwa mtu, na mara ya kwanza kwa Mungu kuitwa tatu, na mara ya kwanza Mungu alipata mtoto-- ni jinsi gani hii ilikubaliwa na Wakristo? Jinsi gani? Fikiria kuhusu hilo! Hatutabishana kwa hiyo. Itabidi mimi nikupe kitu cha kufikiria.
  34 Hits www.sounddimensionsmusic.com  
“Dear children, I am calling you to spread the faith in my Son – your faith. You, my children illuminated by the Holy Spirit, my apostles, transmit it to others – to those who do not believe, who do not know, who do not want to know – but for that you must pray a lot for the gift of love, because love is the mark of true faith – and you will be apostles of my love. Love always, anew, revives the pain and the joy of the Eucharist, it revives the pain of the Passion of my Son, by which he showed you what it means to love immeasurably; it revives the joy for having left you his body and blood to feed you with himself – and in this way, to be one with you. Looking at you with tenderness, I feel immeasurable love which strengthens me in my desire to bring you to a firm faith. Firm faith will give you joy and happiness on earth and in the end the encounter with my Son. This is his desire. Therefore, live him, live love, live the light that always illuminates you in the Eucharist. I implore you to pray a lot for your shepherds, to pray so as to have all the more love for them because my Son gave them to you to feed you with his body and to teach you love. Therefore, also you are to love them. But, my children, remember, love means to endure and to give, and never, ever to judge. Thank you. ”
“Wanangu wapendwa, nawaalika kueneza imani katika Mwanangu, imani yenu. Ninyi wanangu, mlioangazwa na Roho Mtakatifu, mitume wangu, itangazeni imani kwa watu wengine, yaani kwa wasiosadiki, wasioijua na wasiotaka kuijua. Kwa sababu hiyo yawapasa kusali sana kwa ajili ya zawadi ya upendo, maana upendo ndio alama maalum ya imani ya kweli, na ninyi mtakuwa mitume wa upendo wangu. Upendo hufanya upya daima maumivu na furaha ya Ekaristi, hufanya upya maumivu ya Mateso ya Mwanangu, aliyewaonyesha upendo usio na kifani; hufanya upya furaha ya tendo la kuwaachia Mwili wake na Damu yake kwa ajili ya kuwalisha na hivyo kuwa kitu kimoja nanyi. Nikiwaangalia kwa wema nahisi upendo pasipo kiasi, ulioniimarisha katika hamu yangu ya kuwaongoza katika imani thabiti. Imani thabiti itawapa furaha na uchangamfu duniani, na mwishowe kuwaunganisha na Mwanangu. Hiyo ndiyo hamu yake. Kwa hiyo mwishi katika Yeye, na katika upendo, isheni katika nuru iliyowaangaza daima katika Ekaristi. Nawaombeni kusali sana kwa wachungaji wenu, kusali ili kupata upendo mkubwa kwa ajili yao, kwa maana Mwanangu aliwapeni ili waweze kuwalisha kwa Mwili wake na kuwafundisha upendo. Kwa hiyo wapendeni ninyi pia! Lakini, wanangu, kumbukeni: upendo maana yake ni kuvumilia na kutoa na kutohukumu kamwe. Nawashukuru. ”