teine – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 2 Results  www.google.com.mt
  Küpsiste haldamine teie...  
Teine Chrome'i funktsioon on selle inkognitorežiim. Inkognitorežiimis võite sirvida siis, kui te ei taha, et teie veebisaitide külastusi või allalaadimisi salvestataks teie sirvimis- ja allalaadimisajaloos.
Kipengele kingine cha Chrome ni hali yake fiche. Unaweza kuvinjari katika hali fiche wakati hutaki ziara zako za tovuti au vipakuzi zirekodiwa katika historia yako ya kuvinjari na kupakua. Vidakuzi vyovyote vilivyoundwa wakati wa hali fiche hufutwa baada ya kufunga madirisha yote fiche.
  Pettuste vältimine – Kü...  
Kui saate sõnumi tuttavalt, kuid teile tundub, et selle on saatnud keegi teine, võis seda teha mõni tema konto kaaperdanud küberkurjategija, kes üritab teilt raha või teavet välja meelitada – seega olge vastamisega ettevaatlik.
Ikiwa unaona ujumbe kutoka kwa mtu unayemfahamu ambao hauonekani kama aina ya ujumbe anaoweza kutuma, huenda akaunti yake imevamiwa na mhalifu wa mtandaoni ambaye anajaribu kupata pesa au maelezo kutoka kwako - hivyo kuwa mwangalifu jinsi unavyojibu. Mbinu za kawaida ni pamoja na kukuuliza umtumie pesa kwa dharura, akidai ametelekezwa katika nchi nyingine au akisema kuwa simu yake imepotea ili asipigiwe. Ujumbe huo pia unaweza ukakwambia ubofye kwenye kiungo ili uone picha, makala au video, ambacho kwa kweli kitakuelekeza katika tovuti ambayo inaweza kukuibia maelezo yako - kwa hivyo usibofye tu, fikiria kwanza!