|
|
Az Ezsdr.6:1-es vers azt írja Dáriuszról, Babilónia királyáról, hogy kiadott egy parancsot a templom újjáépítésével kapcsolatban. A zsidók kérték Istent, hogy fordítsa hozzájuk "Asszíria királyának a szivét" (Ezsdr.6:22), ismét azt látjuk, hogy ezek felcserélhető szavak.
|
|
|
Babeli na Ashuri mara nyingi wanabadilishana maneno katika manabii; hivi akiisha kusema kifo cha mfalme wa Babeli, Msta. 25 unasema "Nitamvunja huyo mwashuri ……" Unabii kuhusu Babeli katika Isa. 47 umerudiwa kuhusu Waashuri kwa Nahumu 3: 5, 4, 18 na Sefania 2: 13,15; na Nyaka. 33: 11 kusema kwamba mfalme wa Ashuri (alimchukua) alimtwaa manase utumwani Babeli - ni kuonyesha kubadilishana kwa kuita maneno. Amosi. 5: 27 unasema kwamba Israeli walikuwa wanakwenda utumwani "mbali kupita Dameski"yaani Ashuru, lakini Stefano ananukuu mstari huu kuwa"mbali kupita Babeli" (Matendo. 7: 43). Ezra 6:1 ni maelezo ya Dario mfalme wa Babeli akitoa amri ya kujenga tena hekalu. Wayahudi walimtukuza Mungu kuugeuza"Moyo wa mfalme wa Ashuru" (Ezera. 6: 22), tena inaonyesha kwamba ni maneno yanayobadilishana. Unabii wa Isaya 14, pamoja na mwingi mwingine kwa Isaya, unapatana vema kwa maneno ya uvamizi wa Sennakeribu kipindi cha Hezekia, huo mst. 25 unaeleza kuvunjwa kwa mwashuri. Msta. wa 13 ni mwepesi kuufahamu ikiwa unazungumzia kuhusu maneno ya kufuru ya kuuhusuru Yerusalemu Waashuri, walitaka kuingia Yerusalemu na kuteka hekalu kwa ajili ya miungu yao. Awali mfalme wa Ashuru, Tiglath -pileseri, pengine alitaka kufanya yale yale (2 Nyak. 28: 20, 21); Isa. 14: 13 "Maana umesema moyoni mwako, nitapanda mpaka mbinguni ….. (ya mfano wa hekalu na sanduku la agano - 1 Fal. 8: 30; 2 Nyak. 30: 27; Zab. 20: 2, 6; 11: 4 Ebra. 7: 26). Nami nitaketi juu ya mlima wa makutano (mlima sayuni lilipokuwa hekalu) katika pande za mwisho za Kaskazini"(Yerusalemu - Zab. 48: 1, 2).
|