analitzar – Traduction en Swahili – Dictionnaire Keybot

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch English Spacer Help
Langues sources Langues cibles
Keybot 2 Résultats  maps.google.ca
  Fem que Internet sigui ...  
A més, gestionem un servei independent anomenat VirusTotal que ajuda a millorar la seguretat web en oferir una eina gratuïta que els usuaris podern fer servir per analitzar simultàniament fitxers o URL per detectar-hi programari maliciós i virus.
Na pia tunaendesha huduma ya kujitegemea inayoitwa VirusTotal ambayo husaidia kuboresha usalama wa wavuti kwa kutoa zana ya bila malipo ambayo watu wanaweza kutumia kwa wakati mmoja kuchanganua faili au URL kwa ajili ya programu hasidi na virusi.
  Netegeu el vostre dispo...  
Una manera de netejar l'ordinador és analitzar-lo amb un producte antivirus d'alta qualitat (preferiblement amb diversos productes d'aquest tipus). No podem garantir-ne l'eficàcia, però provar les versions més recents d'aquests programes sovint marca la diferència.
Njia moja ya kusafisha kompyuta yako ni kuichunguza ukitumia angalau kingavirusi moja ya hali ya juu; lakini kutumia kadhaa ni afadhali. Hatuwezi kutoa hakikisho kuhusu ubora wa programu hizi, lakini kujaribu matoleo mapya kabisa ya moja kati yazo huleta tofauti. Unaweza pia ukatumia tovuti ya av-comparatives.org kupata programu zingine za kingavirusi na kupitia matokeo ya majaribio.