aneu – Swahili-Übersetzung – Keybot-Wörterbuch

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Français English Spacer Help
Ausgangssprachen Zielsprachen
Keybot 8 Ergebnisse  maps.google.ca
  Eviteu les estafes – Co...  
Aneu amb cura amb els desconeguts que us ofereixin regals
Jihadhari na wageni wanaokuja na zawadi
  Eviteu les estafes – Co...  
Aneu amb compte amb les estafes que utilitzen la marca Google. Google no ven loteria. No cobrem quotes de formació als empleats nous. Si rebeu un correu electrònic en què s'afirma que Google us ha contractat, però que heu de pagar una quota de formació abans d'incorporar-vos a la feina, és una estafa.
Jihadhari na ulaghai unaotumia chapa ya Google. Google haiendeshi bahati nasibu. Hatutozi ada ya mafunzo kwa wafanyakazi wapya – ukipokea barua pepe inayokwambia umeajiriwa na Google lakini inabidi ulipe ada ya mafunzo kabla hujaanza, ni ulaghai. Jihadhari na watu wanaodai kuuza magari kutumia Google Wallet. Pata maelezo zaidi kuhusu ulaghai mbalimbali unaotumia chapa ya Google.
  Conceptes bàsics d'Inte...  
En crear una pestanya, podeu passar fàcilment d'un lloc web a un altre. La manera com es crea una pestanya dependrà del navegador que feu servir. A molts navegadors, es pot crear una pestanya si aneu a [Fitxer] i seleccioneu [Pestanya nova].
Ikiwa unachunguza tovuti moja kwenye kivinjari chako na ungependa kuangalia tovuti nyingine kwa haraka, unachopaswa kufanya ni kufungua kichupo tu. Kimsingi kichupo ni dirisha jingine ndani ya kivinjari kimoja. Kwa kufungua kichupo, unaweza kuruka kati ya tovuti kwa urahisi. Jinsi ya kufungua kichupo itategemea ni kivinjari gani unachotumia. Katika vivinjari vingi, unaweza kufungua kichupo kwa kwenda kwenye [Faili] na kuchagua [Kichupo Kipya].
  Conceptes bàsics d'Inte...  
De la mateixa manera que aneu a una biblioteca per fullejar llibres, podeu trobar o explorar pàgines a Internet mitjançant un navegador d'Internet. Un navegador és un tipus de programari instal·lat a l'ordinador que us permet accedir a Internet.
Kama tu unavyoenda katika maktaba ili 'kuvinjari' kupitia vitabu, unaweza kupata au kuchunguza kurasa kwenye Intaneti ukitumia kivinjari cha Intaneti. Kivinjari ni aina ya programu kwenye kompyuta yako inayokuruhusu kufikia Intaneti. Kivinjari huwa kama dirisha linalokuonyesha wavuti mbali mbali ambako maelezo hupatikana. Unachotakiwa tu kufanya ni kuchapa anwani ya wavuti kwenye kivinjari chako na utapelekwa kwenye tovuti hiyo moja kwa moja.
  Eviteu les estafes – Co...  
Aneu amb compte amb les estafes que utilitzen la marca Google. Google no ven loteria. No cobrem quotes de formació als empleats nous. Si rebeu un correu electrònic en què s'afirma que Google us ha contractat, però que heu de pagar una quota de formació abans d'incorporar-vos a la feina, és una estafa.
Jihadhari na ulaghai unaotumia chapa ya Google. Google haiendeshi bahati nasibu. Hatutozi ada ya mafunzo kwa wafanyakazi wapya – ukipokea barua pepe inayokwambia umeajiriwa na Google lakini inabidi ulipe ada ya mafunzo kabla hujaanza, ni ulaghai. Jihadhari na watu wanaodai kuuza magari kutumia Google Wallet. Pata maelezo zaidi kuhusu ulaghai mbalimbali unaotumia chapa ya Google.
  Eviteu el robatori d'id...  
Si veieu un missatge d'algú que coneixeu, però que no sembla ser aquesta persona, pot ser que el vostre compte hagi estat segrestat per un pirata informàtic que prova d'obtenir diners o informació vostres. Per tant, aneu amb cura quan hi respongueu.
Ikiwa unaona ujumbe kutoka kwa mtu unayemfahamu ambao hauonekani kama yeye, akaunti yake inaweza ikawa imeathiriwa na mhalifu wa mtandaoni ambaye anajaribu kupata pesa au maelezo kutoka kwako - hivyo kuwa mwangalifu jinsi unavypojibu. Mbinu za kawaida ni pamoja na kukuuliza uwatumie pesa kwa dharura, wakidai wametelekezwa katika nchi nyingine au wakisema kuwa simu zao zimepotea ili wasiweze kupigiwa. Ujumbe huo pia unaweza ukakwambia ubofye kwenye kiungo ili uone picha, makala au video, ambayo kwa kweli itakuongoza kwenda kwa tovuti ambayo inaweza kukuibia maelezo yako - hivyo fikiria kabla hujabofya!
  Familiaritzeu-vos amb e...  
A mesura que us aneu familiaritzant amb el web, us podeu trobar amb llenguatge incomprensible o termes tècnics. Hem recopilat uns quants termes habituals i us els provarem d'explicar de forma senzilla i fàcil d'entendre.
Unavyozidi kuufahamu wavuti wako, unaweza kukutana na misamiati mingi au istilahi za kiufundi. Tumekusanya maneno kadhaa ya kawaida na tumejitahidi tuwezavyo kuyafafanua ili yaeleweke kwa urahisi. Pia katika sehemu hii unaweza kupata vidokezo na ushauri wa jinsi ya kufanya mambo kwenye wavuti – kupiga gumzo mtandaoni na kuweka alamisho, kusasisha kivinjari chako na kutafuta kwa ufanisi zaidi kwenye wavuti, pamoja na maelezo ya dhana ambazo labda huzifahamu, kama vile programu huria, au matumizi ya kompyuta winguni.
  Eviteu les estafes – Co...  
Si veieu un missatge d'algú que coneixeu, però que no sembla ser qui diu que és, és possible que el seu compte hagi estat segrestat per un pirata informàtic que prova d'obtenir diners o informació vostres. Per tant, aneu amb compte a l'hora de respondre-hi.
Ikiwa unaona ujumbe kutoka kwa mtu unayemfahamu ambao hauonekani kama wao, akaunti zao zinaweza zikawa zimeathiriwa na mhalifu wa mtandaoni ambaye anajaribu kupata pesa au maelezo kutoka kwako - hivyo kuwa mwangalifu jinsi unavyojibu. Mbinu za kawaida ni pamoja na kukuuliza uwatumie pesa kwa dharura, wakidai wametelekezwa katika nchi nyingine au wakisema kuwa simu zao zimepotea ili wasiweze kupigiwa. Ujumbe huo pia unaweza ukakwambia ubofye kwenye kiungo ili uone picha, makala au video, ambacho kwa kweli kitakuelekeza katika tovuti ambayo inaweza kukuibia maelezo yako - hivyo fikiria kabla hujabofya!