cosa – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 23 Results  maps.google.ca
  Glossari – Familiaritze...  
Programari destructiu que fingeix ser una aplicació útil. Inicialment, el programari sembla fer alguna cosa útil, però en comptes d'això roba la informació o malmet l'ordinador o el dispositiu mòbil.
Programu haribifu inayojifanya kuwa programu yenye manufaa. Programu hiyo mwanzoni huonekana kufanya kitu chenye manufaa, lakini badala yake huiba maelezo au kudhuru kompyuta yako au simu yako ya mkononi.
  Conceptes bàsics d'Inte...  
A més de l'accessibilitat, les aplicacions web són més segures. Com que s'executen al navegador, mai no heu de baixar-les a l'ordinador, amb la qual cosa esteu protegits front a virus, programari maliciós i programari espia.
Pamoja na ufikiaji, programu za wavuti ni salama zaidi. Kwa kuwa zinaendeshwa katika kivinjari chako, huhitaji kuzipakua kwenye kompyuta yako, hivyo kukulinda kutoka kwa virusi, programu hasidi na vidadisi. Sasa una ufikiaji mkubwa zaidi, na ufikiaji salama zaidi kuliko awali.
  Conceptes bàsics d'Inte...  
Ara podem penjar els nostres propis fitxers personals (fotos, vídeos, documents, música, etc.) als servidors ubicats al núvol i accedir-hi des de qualsevol ordinador, cosa que ens protegeix de la pèrdua d'aquests fitxers a causa de virus, errors a les unitats de disc dur o pel nostre propi error.
Katika miaka ya karibuni, cloud computing imetoa hata faida zaidi. Sasa tunaweza kupakia faili zetu binafsi (picha, video, hati, muziki, nk.) kwa seva za wingu na kuzifikia kutoka kompyuta yoyote, hivyo kutulinda na kupoteza faili hizi kutokana na virusi, diski kuu zenye hitilafu, au makosa yetu wenyewe ya kibinadamu.
  Fem que Internet sigui ...  
Per ajudar altres llocs web a adoptar l'encriptació SSL i a reduir els costos, hem compartit els nostres resultats sobre com crear una encriptació SSL més eficaç, la qual cosa permet que els llocs web afegeixin aquest nivell de seguretat per als seus usuaris.
Ili kusaidia tovuti nyingine kukumbatia usimbaji fiche wa SSL na kupunguza gharama, tumeshiriki matokeo yetu juu ya jinsi ya kuifanya SSL fanisi zaidi, ambayo inarahisishia tovuti kuongeza safu hii ya usalama kwa watumiaji wao.
  Glossari – Familiaritze...  
És un programa de l'ordinador que proporciona informació sobre el programari que s'hi executa actualment. Al gestor de tasques o al monitor d'activitat podeu aturar processos i programes, cosa que pot ser especialment important si no podeu tancar el navegador o un lloc web de cap altra manera.
Ni programu kwenye kompyuta yako inayotoa maelezo kuhusu programu zinazoendeshwa kwa sasa kwenye kompyuta yako. Unaweza kusimamisha michakato na programu katika meneja kazi/ufuatiliaji shughuli, ambayo inaweza kuwa muhimu sana ikiwa huwezi vinginevyo kufunga kivinjari chako au tovuti. Ili kufikia hii, jaribu kutafuta “ufutatiliaji shughuli” au “meneja kazi” kwenye kompyuta yako.
  Feu servir xarxes segur...  
És recomanable anar amb molta cura quan us connecteu a Internet amb una xarxa que no coneixeu o que no és de la vostra confiança, com ara la xarxa Wi-Fi gratuïta de la cafeteria on soleu anar. El proveïdor de serveis pot supervisar tot el trànsit de la xarxa, la qual cosa pot incloure la vostra informació personal.
Ni vizuri kuwa makini zaidi unapoingia mtandaoni ukitumia mtandao usioufahamu au kuamini – kama kutumia mtandao wa Wi-Fi wa bila malipo katika mkahawabwake wa karibu nawe. Mtoa huduma anaweza kuchungua trafiki yote kwenye mitandao yao, ambako kunaweza kujumuisha maelezo yako.
  Netegeu el vostre dispo...  
Si dubteu, utilitzeu adreces d'interès de confiança per als llocs importants, feu servir el motor de cerca per anar al lloc o escriviu l'adreça del lloc directament al navegador. També heu de comprovar si l'adreça web comença per https://, cosa que indica que la connexió amb el lloc web està encriptada i que és més resistent a intromissions i interferències.
Ukiwa na mashaka, tumia alamisho zinazoaminika za tovuti muhimu, tumia injini tafuti yako ili uabiri kwenda kwa tovuti au chapa anwani ya tovuti moja kwa moja kwenye kivinjari chako. Unapaswa pia kuangalia ili uone kama anwani ya wavuti inaanza na https:// – inayoashiria kuwa muunganisho wako kwenda kwa tovuti umesimbwa kwa njia fiche na ni sugu zaidi kwa kuchungulia au kuchezea.
  Netegeu el vostre dispo...  
Si us adoneu d'alguna cosa sospitosa després de la baixada, per exemple, que l'ordinador va molt més lent, que hi ha missatges o finestres emergents inesperats o càrrecs de facturació desconeguts, desinstal·leu el programari immediatament i assegureu-vos que l'antivirus s'estigui executant i que està actualitzat.
Ukiona chochote cha kutia shaka baada ya kupakua programu – kama vile kupungua kwa kasi ya kompyuta kwa kiasi kikubwa, viibukizi au mawasiliamo yasiyotarajiwa, au kutozwa ada usizozifahamu – ondoa programu hiyo mara moja na uhakikishe kingavirusi yako inafanya kazi na imesasishwa.
  Accions per mantenir l'...  
També utilitzem la mateixa tecnologia per identificar si algú us envia un missatge a Gmail que pugui ser perjudicial o contenir programari maliciós i per advertir-vos si proveu de baixar alguna cosa d'un lloc web que podria semblar un to per al telèfon o un PDF, però que conté codi de manera oculta que podria malmetre l'ordinador.
Pia tunatumia teknolojia hiyo hiyo kusaidia kutambua ikiwa mtu anakutumia ujumbe katika Gmail ambao unaweza kuwa na athari au una programu hatari, na kukuonya ukijaribu kupakua kitu kutoka kwa tovuti kinachoweza kuonekana kama mlio wa simu au PDF, lakini kisiri kina msimbo unaoweza kuathiri kompyuta yako.
  Eines de seguretat de G...  
El filtre SafeSearch està activat de manera predeterminada en mode moderat, per la qual cosa les imatges explícites no apareixen als resultats de la cerca. Si ho preferiu, podeu canviar la configuració perquè el filtre sigui estricte i excloure, així, el text explícit (a més de les imatges).
Kwa chaguo-msingi, Utafutaji-Salama wa Wastani huwa umewashwa, jambo ambalo husaidia kuondoa picha za ngono kwenye matokeo yako ya utafutaji. Kama unapendelea, unaweza kubadilisha mipangilio na kuweka uchujaji Mkali ili kusaidia kuchuja matini na picha dhahiri.
  Coneixeu les eines de s...  
També podeu utilitzar aquesta funció a Chrome per a Android, ja que Chrome és ara el navegador predeterminat per als productes nous Android, la qual cosa us permet navegar pel web al telèfon o a la tauleta en privat.
Katika modi chini kwa chini, kurasa unazofungua na faili unazopakua hazirekodiwi katika historia ya kuvinjari au kupakua ya Chrome. Unaweza pia kutumia kipengele hiki katika Chrome ya Android – na Chrome ndio kivinjari chaguo-msingi kwa ajili ya bidhaa mpya za Android, kukuruhusu uvinjari mtandao kwenye simu yako au kompyuta ndogo kwa faragha. Fahamu jinsi ya kufikia modi chini kwa chini.
  Preguntes més freqüents...  
Va contra les Polítiques de programa per a desenvolupadors de Google Play per a aplicacions mostrar (a través de SMS, imatges, vídeo o un altre format multimèdia) o enllaçar: contingut que no sigui adequat per a qualsevol menor de 18, contingut protegit amb drets d’autor, contingut il·legal, qualsevol cosa que promocioni o inciti a la violència o a l’odi, així com pornografia, obscenitat, nuesa i activitats sexuals.
Ni kinyume na Sera za Google Play za Programu ya Wasanidi Programu kwa programu kuonyesha (kupitia maandishi, picha, video au vyombo nyingine vya habari) au kuunganisha kwa: maudhui yasiyofaa mtu yeyote aliye na umri chini ya miaka 18, maudhui yenye hakimiliki, maudhui yaliyo kinyume cha sheria, kitu chochote ambacho kinakuza au kinahimiza uhasama au chuki, pamoja na, ponografia, uchafu, uchi na shughuli za kingono.
  Lluita contra el robato...  
Google pren moltes mesures per mantenir la vostra informació personal fora de l'abast dels atacants i dels espies. De manera predeterminada, encriptem la connexió de Gmail entre l'ordinador i Google, la qual cosa protegeix les vostres activitats a Google perquè altres persones no hi puguin accedir.
Google huchukua hatua nyingi kuweka maelezo yako binafsi salama kutoka kwa washambuliaji na wanaochungulia. Kwa chaguo-msingi, tunaweka usimbaji fiche muunganisho wa Gmail kati ya kompyuta yako na Google – hii husaidia kulinda shughuli zako za Google kutokana na kuchunguliwa na wengine. Pia tunaweza kuweka muunganisho huu, unaojulikana kama kipindi kipana Usimbaji fiche wa SSL, chaguo-msingi unapoingia kwenye Hifadhi ya Google na huduma nyingine nyingi.
  Eviteu les estafes – Co...  
Entre les tàctiques habituals, us poden demanar que els envieu diners urgentment, afirmant que s'han quedat aïllats en un altre país o que els han robat el telèfon i, per tant, no els podeu trucar. El missatge també us pot demanar que feu clic en un enllaç per veure una imatge, un article o un vídeo, la qual cosa en realitat us portarà a un lloc que podria robar-vos la informació.
Ikiwa unaona ujumbe kutoka kwa mtu unayemfahamu ambao hauonekani kama wao, akaunti zao zinaweza zikawa zimeathiriwa na mhalifu wa mtandaoni ambaye anajaribu kupata pesa au maelezo kutoka kwako - hivyo kuwa mwangalifu jinsi unavyojibu. Mbinu za kawaida ni pamoja na kukuuliza uwatumie pesa kwa dharura, wakidai wametelekezwa katika nchi nyingine au wakisema kuwa simu zao zimepotea ili wasiweze kupigiwa. Ujumbe huo pia unaweza ukakwambia ubofye kwenye kiungo ili uone picha, makala au video, ambacho kwa kweli kitakuelekeza katika tovuti ambayo inaweza kukuibia maelezo yako - hivyo fikiria kabla hujabofya!
  Coneixeu les eines de s...  
Això vol dir que si algú roba o endevina la vostra contrasenya, no podrà iniciar la sessió al vostre compte, perquè no té el vostre telèfon. Així podeu protegir-vos amb una dada que coneixeu (la contrasenya) i amb una cosa que us pertany (un telèfon).
Pindi tu unapounda nenosiri la Akaunti yako ya Google, tunakuhimiza uongeze safu ya ziada ya usalama kwa kuwezesha uthibitishaji wa hatua mbili. Uthibitishaji wa hatua mbili unakuhitaji kufikia simu yako, pamoja na jina lako la mtumiaji na nenosiri, unapoingia. Hii inamaanisha kuwa ikiwa mtu fulani ataiba au kudadisi nenosiri lako, mwingiaji kwenye akaunti bila idhini aliyepo bado hawezi kuingia kwenye akaunti yako kwa sababu hana simu yako. Sasa unaweza kujilinda kwa jambo ambalo unajua ( nenosiri lako) na jambo ulilo nalo (simu yako).
  Protegiu les contraseny...  
Si el servei que utilitzeu us permet crear la vostra pròpia pregunta, proveu de pensar en una pregunta que tingui una resposta impossible d'endevinar per altres usuaris i que no sigui alguna cosa que hàgiu fet pública o que hàgiu compartit en mitjans socials.
Hata hivyo, ikiwa hutaki au huwezi kuongeza nambari ya simu kwa akaunti yako, tovuti nyingi zinaweza kuuliza uchague swali la kuthibitisha utambulisho wako endapo utasahau nenosiri lako. Ikiwa huduma unayotumia inakuruhusu utengeneze swali lako mwenyewe, jaribu kupata swali lenye jibu ambalo unalijua peke yako na si kitu ambacho umechapisha hadharani au umeshiriki kwenye mitandao jamii.
  Lluita contra el robato...  
Hem avisat diversos usuaris quan semblava que passava alguna cosa poc habitual al seu compte de Google; per exemple, inicis de sessió des d'un país i després des d'un altre diferent. Aquests usuaris van rebre un missatge d'advertiment a la seva safata d'entrada de Gmail sobre aquest accés poc habitual.
Tumetahadharisha watumiaji kadhaa kilipoonekana ni kama kitu kisicho cha kawaida kilikuwa kikiendelea kwenye Akaunti zao za Google – kwa mfano, uingiaji unaoonekana kutoka kwenye nchi moja na unaotokea muda mfupi tu baada ya uingiaji kutoka nchi nyingine. Watumiaji hawa walionyeshwa ujumbe wa kuonya katika vikasha vyao vya Gmail kuhusu ufikiaji huu usio wa kawaida. Pia kwa mara nyingine tunahakakisha kuwa tunawafanya watumiaji wabadilishe manenosiri yao ikiwa tuna sababu ya kuamini akaunti zao zimeathiriwa.
  Eviteu el robatori d'id...  
En primer lloc, observeu la barra d'adreces del navegador per veure si l'URL sembla real. També heu de comprovar que l'adreça web comença per https://, la qual cosa indica que la connexió amb el lloc web està encriptada i que és més resistent a intromissions i interferències.
Kwanza, angalia upau anwani kwenye kivinjari chako uone kama URL ni halisi. Unapaswa pia kuangalia uone kama anwani ya wavuti inaanza na https:// – inayoashiria kuwa muunganisho wako wa tovuti umesimbwa kwa njia fiche na ni sugu zaidi kwa kuchungulia au kuchezea. Baadhi ya vivinjari pia hujumuisha ikoni ya kufuli katika upau anwani kando yaa https:// kuonyesha wazi kuwa muunganisho wako umesimbwa kwa njia fiche na umeuganishwa kwa usalama zaidi.
  Feu servir xarxes segur...  
En primer lloc, observeu la barra d'adreces del navegador per veure si l'URL sembla real. També heu de comprovar que l'adreça web comença per https://, la qual cosa indica que la connexió amb el lloc web està encriptada i que és més resistent a intromissions i interferències.
Kwanza, angalia upau anwani kwenye kivinjari chako uone kama URL ni halisi. Unapaswa pia kuangalia uone kama anwani ya wavuti inaanza na https:// – inayoashiria kuwa muunganisho wako wa tovuti umesimbwa kwa njia fiche na ni sugu zaidi kwa kuchungulia au kuchezea. Baadhi ya vivinjari pia hujumuisha ikoni ya kufuli katika upau anwani kando yaa https:// kuonyesha wazi kuwa muunganisho wako umesimbwa kwa njia fiche na umeuganishwa kwa usalama zaidi.
  Configuració de la priv...  
Vam dissenyar Gmail amb l’objectiu de millorar l’experiència d’ús del correu electrònic, i continuem desenvolupant funcions noves i innovadores per millorar la vostra experiència, cosa que inclou la protecció de la vostra seguretat i de la vostra privadesa.
Tulitengeneza Gmail ili kuboresha uzoefu wa kutumia barua pepe, na tunaenedelea kuunda vipengee vipya bunifu ili kufanya uzoefu wako uwe bora—ikiwa ni pamoja na kushugulika kulinda usalama na faragha yako. Gmail hutoa zana mbalimbali kukusaidia kulinda data yako ikiwa ni pamoja na kuchunguza virusi, uchujaji wa barua taka, ufikiaji kupitia HTTPS na uthibitishaji wa hatua mbili.
  Conceptes bàsics d'Inte...  
Les aplicacions web, que en anglès també s'anomenen “apps”, són programes ubicats al navegador o al dispositiu mòbil. Us connecten als serveis d'Internet, cosa que us permet fer tasques senzilles, com ara afegir llocs web als marcadors i comprovar el correu electrònic.
Programu za wavuti, pia zinazojulikana kama "programu" ni programu ambazo hukaa kwenye kivinjari chako au kwenye kifaa chako cha simu ya mkononi. Zinakuunganisha kwenye huduma za Intaneti ili kukuwezesha kufanya kazi rahisi, kama kualamisha tovuti na kuangalia barua pepe. Pia zinaweza kufanya kazi changamani kama vile kushiriki picha, kuabiri miji au kusikiliza muziki. Mfumo wako wa kawaida wa kuabiri gari ni mfano mzuri wa programu. Ndani ya programu hii, unaweza kupata maelezo katika muda halisi kulingana na eneo lako. Unaweza kupindua na kukuza ramani, pata maelekezo ya kuendesha gari, pata njia mbadala na tafuta maeneo maalum unayolenga kufikia.
  Feu servir xarxes segur...  
No obstant això, si utilitzeu un servei que encripti la connexió al servei web, pot resultar més difícil que algú accedeixi a la vostra activitat. De manera predeterminada, encriptem la connexió de Gmail entre l'ordinador i Google, la qual cosa evita que altres persones puguin accedir a la vostra activitat de Google.
Hata hivyo, ikiwa unatumia huduma inayosimba kwa njia fiche muunganisho wako kwenda kwenye huduma ya wavuti, inaweza kuifanya vigumu zaidi kwa mtu kuchungulia shughuli zako. Kwa chaguo-msingi, tunaweka usimbaji fiche kwa muunganisho wa Gmail kati ya kompyuta yako na Google – hii husaidia kulinda shughuli zako za Google kutokana na kuchunguliwa na wengine. Pia tunafanya muunganisho huu, unaojulikana kama kipindi kipana Usimbaji fiche wa SSL , kuwa chaguo-msingi unapoingia kwenye Hifadhi ya Google na huduma nyingine nyingi.
  Conceptes bàsics d'Inte...  
Google+ us ajuda a connectar-vos amb les persones i amb les coses que més us importen. Es va crear pensant en com es comparteixen les coses al món real, cosa que vol dir que el control és vostre. Google+ també ajuda Google a funcionar millor segons les vostres necessitats i fa que els serveis que ja us agraden siguin més ràpids, més rellevants i més fiables.
Google+ husaidia kukuunganisha kwa unayejali na unachojali. Iliundwa na kushiriki halisi katika akili – na hiyo inamaanisha unaidhibiti. Google+ pia husaidia Google ikufanyie kazi bora – kufanya huduma unazozipenda tayari kuwa na kasi zaidi, yenye kuhusiana zaidi na ya kuaminika zaidi. Ili kuitumia vyema Google+, angalia maelezo zaidi juu ya vipengele vinavyopatikana kwako, ikiwa ni pamoja na Durara na Hangout.