diverses – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 9 Results  mail.google.com
  Tipus de galetes que fa...  
Els editors i anunciants poden treballar amb diversos proveïdors de tecnologia i de serveis, i cadascuna d'aquestes parts pot establir les seves pròpies galetes, tot i que cada galeta només es pot llegir en el domini que l'estableix. Això vol dir que pot ser que diverses empreses enviïn diverses galetes al vostre navegador en el temps que triga a carregar-se una única pàgina web.
Baadhi ya bidhaa zetu za utangazaji huruhusu kampuni zingine kutuma vidakuzi vyao kwenye kivinjari chako. Kwa mfano, unapotembelea ukurasa unaotumia DoubleClick, unaweza kupata kwamba vidakuzi vinatumwa kwa kivinjari chako kutoka kwa Google na hata wahusika wengine. Kila mchapishaji na mtangazaji anaweza kufanya kazi na teknolojia na watoa huduma tofauti na kila mmoja kati ya wahusika hawa wanaweza kuweka vidakuzi vyao binafsi, ingawa kila kidakuzi kinaweza kusomwa tu na kikoa kinachokiweka. Hii inamaanisha ya kwamba vidakuzi kadhaa vinaweza kutumwa kwa kivinjari chako na kampuni kadhaa kwa muda ambao unachukua ukurasa wa wavuti moja kupakia. Hivi ndivyo utangazaji mtandaoni mwingi unavyofanya kazi.
  Lluita contra el robato...  
Google utilitza diverses tecnologies per protegir-vos del robatori d'identitat en línia i per garantir que el compte de Google sigui segur i estigui protegit.
Google hutumia teknolojia mbali mbali ili kusaidia kukulinda kutokana na wizi wa utambulisho mtandaoni na kuhakikisha akaunti yako ni salama.
  Configuració de la priv...  
Chrome té diverses funcions que us ajuden a gestionar la privadesa, com ara el mode d’incògnit i les opcions de configuració que us ajuden a gestionar les vostres preferències sobre galetes, imatges, JavaScript i connectors corresponents a cada lloc web.
Tulitengeneza Chrome sio tu ili iwe na kasi bali pia ikuwezeshe kudhibiti maelezo yako ya faragha huku ikikusaidia kulinda maelezo unayoyashiriki unapokuwa mtandaoni. Chrome hutoa vipengee kadhaa vinavyokusaidia kudhibiti faragha yako ikiwa ni pamoja na hali na mipangilio fiche inayokusaidia kudhibiti mapendeleo yako ya vidakuzi, picha, HatiJava na program-jalizi kwa misingi tovuti katika kila tovuti.
  Configuració de la priv...  
Vam dissenyar Gmail amb l’objectiu de millorar l’experiència d’ús del correu electrònic, i continuem desenvolupant funcions noves i innovadores per millorar la vostra experiència, cosa que inclou la protecció de la vostra seguretat i de la vostra privadesa. Gmail ofereix diverses eines per ajudar-vos a protegir les vostres dades, com ara la protecció antivirus, els filtres contra el correu brossa, l’accés HTTPS i la verificació en dos passos.
Tulitengeneza Gmail ili kuboresha uzoefu wa kutumia barua pepe, na tunaenedelea kuunda vipengee vipya bunifu ili kufanya uzoefu wako uwe bora—ikiwa ni pamoja na kushugulika kulinda usalama na faragha yako. Gmail hutoa zana mbalimbali kukusaidia kulinda data yako ikiwa ni pamoja na kuchunguza virusi, uchujaji wa barua taka, ufikiaji kupitia HTTPS na uthibitishaji wa hatua mbili.
  Protegiu les contraseny...  
Per tant, no utilitzeu la mateixa contrasenya per a un butlletí en línia i per al compte de correu electrònic o del banc. Pot ser més incòmode, però si establiu diverses contrasenyes us mantindreu més segur.
Kuchagua nenosiri lile lile kwa kila akaunti yako mtandaoni ni sawa na kutumia ufunguo ule ule kufunga nyumba yako, gari na ofisi – mhalifu akipata ufikiaji kwa moja, nyingine zote zitaathiriwa. Hivyo usitumie nenosiri sawa kwa jarida la mtandaoni kama unavyotumia kwa akaunti yako ya barua pepe au benki. Inaweza ikawa na usumbufu kidodo, lakini kuchagua manenosiri mengi hukuweka salama baadaye.
  Publicitat – Polítiques...  
Els sistemes de publicitat de Google poden fer servir altres tecnologies, com ara Flash i HTML5, per a diverses funcions com la visualització de formats d'anuncis interactius. També podem fer servir l'adreça IP, per exemple, per seleccionar anuncis basats en la vostra ubicació general.
Mifumo ya Google ya utangazaji inaweza kutumia teknolojia zingine, ikiwa ni pamoja na Flash na HTML5, kwa utendakazi kama uonyeshaji wa fomati za kuingiliana za tangazo. Pia tunaweza kutumia anwani ya IP, kwa mfano, kuchagua matangazo kulingana na eneo lako kijumla.
  Publicitat – Polítiques...  
Quan col·laborem amb els nostres socis, podem fer servir galetes per a diverses finalitats com, per exemple, evitar que vegeu el mateix anunci una vegada i una altra, detectar i impedir el frau per clic i mostrar anuncis que probablement us seran més rellevants (com ara anuncis basats en llocs web que heu visitat).
Tovuti nyingi, kama vile tovuti za habari na blogu, hushirikiana na Google kuonyesha matangazo kwa wageni wao. Tukifanya kazi na washirika wetu, tunaweza kutumia vidakuzi kwa madhumuni kadhaa, kama vile kukusitisha kuona tangazo sawa tena na tena, kugundua na kusitisha udanganyifu wa kubofya, na kuonyesha matangazo ambayo yana uwezekano wa kuwa wa maana zaidi (kama vile matangazo yanayolingana na tovuti ulizotembelea).
  Tipus de galetes que fa...  
Els editors i anunciants poden treballar amb diversos proveïdors de tecnologia i de serveis, i cadascuna d'aquestes parts pot establir les seves pròpies galetes, tot i que cada galeta només es pot llegir en el domini que l'estableix. Això vol dir que pot ser que diverses empreses enviïn diverses galetes al vostre navegador en el temps que triga a carregar-se una única pàgina web.
Baadhi ya bidhaa zetu za utangazaji huruhusu kampuni zingine kutuma vidakuzi vyao kwenye kivinjari chako. Kwa mfano, unapotembelea ukurasa unaotumia DoubleClick, unaweza kupata kwamba vidakuzi vinatumwa kwa kivinjari chako kutoka kwa Google na hata wahusika wengine. Kila mchapishaji na mtangazaji anaweza kufanya kazi na teknolojia na watoa huduma tofauti na kila mmoja kati ya wahusika hawa wanaweza kuweka vidakuzi vyao binafsi, ingawa kila kidakuzi kinaweza kusomwa tu na kikoa kinachokiweka. Hii inamaanisha ya kwamba vidakuzi kadhaa vinaweza kutumwa kwa kivinjari chako na kampuni kadhaa kwa muda ambao unachukua ukurasa wa wavuti moja kupakia. Hivi ndivyo utangazaji mtandaoni mwingi unavyofanya kazi.
  Gestioneu diversos comp...  
A més, a les tauletes més recents de Google amb modes multiusuari, com ara Nexus 7, és senzill associar diversos comptes a un dispositiu. Això fa que diverses persones de la vostra família consultin el seu correu electrònic o accedeixin a les seves aplicacions sense haver d'iniciar la sessió i tancar-la.
Unaweza kugeuza kati ya Akaunti za Google kwa urahisi na haraka, kote kwenye eneo-kazi na kwenye simu ya mkononi. Kwa mfano, unaweza kuongeza Akaunti ya Google ya pili unapokuwa umeingia kwenye akaunti yako kuu na ubadilishe kutoka moja kwenda nyingine kati yao. Na kwenye kompyuta ndogo mpya za Google zenye hali za watumiaji wengi kama Nexus 7, ni rahisi kwa akaunti nyingi kuhusishwa na kifaa kimoja. Hii inawarahisishia watu tofauti katika familia yako kuangalia barua pepe zao au kufikia programu zao bila kuhitajika kuingia na kuondoka. Mara unapokuwa umefungua akaunti ya msingi, unaweza kuongeza akaunti kwa urahisi katika mipangilio ya kifaa.