opció – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 4 Results  www.google.it
  Configuració de la priv...  
La primera vegada que feu servir la funció La meva ubicació, el navegador us demanarà si esteu d’acord a compartir la ubicació amb Google Maps. Si rebutgeu aquesta opció, la ubicació no es comparteix amb Google Maps i es desactivarà la funció La meva ubicació.
Ramani: Ramani za Google hutumia kipengee cha eneo la jiografia cha kivinjari chako kubainisha eneo lako. Ramani za Google hufikia eneo lako kutoka kwa kivinjari chako na inaweza kufanya hivyo tu ikiwa na idhini dhahiri kutoka kwako. Mara ya kwanza unapotumia Kipengee cha Eneo Langu, kivinjari chako kitauliza kama unaridhika kushiriki eneo lako na Ramani za Google. Ukikataa, eneo lako halishirikiwi na Ramani za Google na kipengee cha Eneo kitalemezwa.
  Configuració de la priv...  
Aquesta funció s'aplica a cada usuari de manera individual i es manté a la resta de xats. Això vol dir que, si activeu aquesta opció amb un usuari en concret, es mantindrà amb aquesta persona, encara que tanqueu la finestra de xat i no torneu a xatejar amb aquest usuari en una setmana.
Unapopiga gumzo moja kwa moja katika Gmail au Google Talk, unaweza kuchagua gumzo lisirekodiwe ili chochote kitakachocharazwa kutoka wakati huo kisihifadhiwe katika akaunti ya Gmail ya mtu yeyote. Kufanya gumzo lisirekodiwe hutumika kwa watu binafsi, na hutumika kwenye gumzo zote. Hii inamaanisha kuwa mara unapochagua kutorekodi gumzo na mtu fulani, gumzo utakazopiga naye daima hazitarekodiwa, hata kama utafunga dirisha la gumzo na nyinyi wawili hamtapiga gumzo tena hadi baada ya miezi kadhaa. Hautahitaji kuchagua kutorekodi gumzo kila wakati unapopiga gumzo na mtu yule yule, lakini utahitaji kufanya uamuzi huu kwa kila mtu unayepiga gumzo naye.
  Eines de seguretat de G...  
Tot i que cap filtre no és 100% fiable, fem servir el sistema de marcació de la comunitat i de detecció d’imatges pornogràfiques per poder identificar i amagar contingut inadequat. També està dissenyat per amagar els comentaris inacceptables. El Mode de seguretat de YouTube no elimina cap contingut del lloc, sinó que evita que es mostri als usuaris que activen aquesta opció.
Kuingia katika Hali Salama humaanisha kwamba video zenye maudhui ya watu wazima au zenye mipaka ya umri hazitatokea katika utafutaji wa video, video zinazohusiana, orodha za kucheza, maonyesho au filamu. Ijapokuwa hakuna kichujio kilicho na usahihi wa asilimia mia moja, tunatumia ualamishaji wa jumuia na ugunduzi wa picha za ponografia ili kusaidia kutambua na kuficha maudhui yasiyofaa. Imeundwa pia kuficha maoni ya kuchukiza. Hali ya Usalama kwenye YouTube haiondoi maudhui kwenye tovuti, lakini husaidia kuyaficha kutoka kwa watumiaji wanaoingia.