posar – Swahili-Übersetzung – Keybot-Wörterbuch

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Français English Spacer Help
Ausgangssprachen Zielsprachen
Keybot 3 Ergebnisse  books.google.com
  Coneixeu les eines de s...  
Si heu iniciat la sessió en un compte de Google, l'Historial web us proporciona resultats i recomanacions més rellevants. Si voleu, podeu suprimir entrades, posar la recopilació d'informació en pausa o desactivar el servei del tot.
Ikiwa umeingia kwenye Akaunti ya Google, Historia ya Wavuti inakusaidia kukupa matokeo na mapendekezo yanayohusiana zaidi. Ukichagua, unaweza kufuta maingizo, sitisha ukusanyaji au zima huduma hiyo kabisa. Unaweza kufanya vivyo hivyo na Historia ya YouTube.
  Preguntes més freqüents...  
El nostre sistema està format per tres elements principals: (1) eines potents per ajudar les famílies a controlar millor la seva activitat a Internet; (2) cooperació amb les autoritats i amb els partners del sector per ajudar a posar fi al contingut i a les activitats il·legals en línia, i (3) esforços educatius per conscienciar més els usuaris sobre la seguretat a Internet.
Google inafanya kazi kwa bidii ili kumpa yeyote anayetumia huduma zetu uzoefu salama. Mtazamo wetu una vipengee vitatu vya msingi: (1) zana madhubuti za kusaidia familia kudhibiti shughuli zao mtandaoni vyema zaidi; (2) ushirikiano na watekelezaji sheria na washirika katika sekta ili kusaidia kukomesha shughuli na maudhui yanayokiuka sheria kwenye mtandao; na (3) juhudi za kielimu za kuongeza ufahamu kuhusu usalama mtandaoni.
  Glossari – Familiaritze...  
És una mica com el número de telèfon de la mare: de la mateixa manera que un número de telèfon indica a un operador a quina casa ha d'encaminar la trucada perquè arribi a la vostra mare, una adreça IP indica a l'ordinador com posar-se en contacte amb un altre ordinador a Internet.
Kila anwani ya wavuti (tuseme, “www.google.com”) ina anwani yake ya nambari inayoitwa anwani ya IP. Anwani ya IP inafanana na kitu kama hiki: 74.125.19.147. Anwani ya IP ni mfululizo wa nambari zinazoonyesha bayana kompyuta au kifaa cha mkononi kilipo kwenye Intaneti. Inafanana kidogo na nambari ya simu ya mama: kama tu nambari ya simu inavyomwonyesha mwendeshaji ni nyumba ipi aelekeze simu ili imfikie mama yako, anwani ya IP inaiambia kompyuta jinsi ya kuwasiliana na kompyuta nyingine kwenye Intaneti.