as well – Swahili Translation – Keybot Dictionary

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Deutsch Français Spacer Help
Source Languages Target Languages
Keybot 2 Results  www.google.ad
  Privacy & Terms – Google  
For example, if you're concerned about unauthorized access to your email, "Last account activity" in Gmail shows you information about recent activity in your email, such as the IP addresses that accessed your mail, the associated location, as well as the time and date.
Kwa mfano, ikiwa una wasiwasi kuhusu ufikiaji ambao haujaidhinishwa kwa barua pepe yako, "Shughuli ya mwisho ya akaunti" katika Gmail inakuonyesha habari kuhusu shughuli za hivi karibuni katika barua pepe yako, kama vile anwani za IP ambazo zilifikia barua pepe yako, eneo linalohusiana, pamoja na wakati na tarehe. Maelezo haya yanaweza kukusaidia kujua ikiwa mtu alifikia barua pepe yako na wakati alifanya hivyo bila ufahamu wako. Pata maelezo zaidi.
  Types of cookies used b...  
It's generally set in the googleadservices.com domain (you can find a list of domains we use for advertising cookies at the foot of this page). Some of our other cookies may be used to measure conversion events as well.
Google pia hutumia vidakuzi vya kushawishika ambavyo lengo lake kuu ni kuwasaidia watangazaji kufahamu ni mara ngapi watu wanaobofya matangazo yao mwishowe hununua bidhaa zao. Vidakuzi hivi huruhusu Google na mtangazaji kujua kwamba ulibofya tangazo na baadaye ukatembelea tovuti ya mtangazaji. Vidakuzi vya kushawishika havitumiwi na Google kwa matangazo yanayolenga mambo yanayokuvutia na hudumu kwa muda mfupi tu. Kidakuzi kiitwacho 'Conversion' kimewekwa mahususi kwa shughuli hii. Kidakuzi hiki kwa kawaida huwekwa kwenye kikoa cha googleadservices.com (unaweza kupata orodha ya vikoa tunavyotumia kwa vidakuzi vya matangazo katika kijachini cha ukurasa huu). Baadhi ya vidakuzi vyetu vingine vinaweza pia kutumiwa kupima matukio ya kushawishika. Kwa mfano, vidakuzi vya DoubleClick na Google Analytics pia vinaweza kutumiwa kwa madhumuni haya.