|
|
Isegi kui teie parool on lahti murtud, ära arvatud või varastatud, ei pääse ründaja teie kontole sisestamata, kinnituskoodi, mille teie mobiiltelefonile saadame. Pakume kaheastmelist kinnitamist enam kui 50 keeles ja 175 riigis. Siit leiate lisateavet, kuidas seadistada kaheastmeline kinnitamine.
|
|
|
Ili kuleta hata viwango thabiti zaidi vya ulinzi kwenye Akaunti yako ya Google, tunatoa uthibitishaji wa hatua 2 kwa watumiaji wetu. Zana hii inaongeza safu ya ziada ya usalama kwa kuomba sio tu nenosiri, lakini pia msimbo wa kuthibitisha ili kuingia kwenye Akaunti ya Google. Hata ikiwa nenosiri lako litavurugwa, kubashiriwa, au kuibwa, mshambuliaji hawezi kuingia kwenye akaunti yako bila kuingiza msimbo wa kudhibitisha tutakayotuma kwenda simu yako ya mkononi. Tunatoa uthibitishaji wa hatua 2 kwa zaidi ya lugha 50 na nchi 175. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kuweka uthibitishaji wa hatua 2 hapa.
|