meeles – Swahili-Übersetzung – Keybot-Wörterbuch

Spacer TTN Translation Network TTN TTN Login Français English Spacer Help
Ausgangssprachen Zielsprachen
Keybot 3 Ergebnisse  maps.google.ca
  Sobimatust sisust teavi...  
Kui leiate YouTube’ist video, mis teie arvates rikub meie kogukonna juhiseid, saate selle märgistada sobimatuna ja see saadetakse meie tiimile ülevaatamiseks. Pidage meeles, et saate sortida sisu, mis vastab meie kogukonna juhistele, aga mida te siiski näha ei soovi, kasutades YouTube’i ohutusrežiimi.
Ukipata video kwenye YouTube unayofikiria inakiuka Mwongozo wetu wa Jumuia, unaweza kuiripoti kama isiyofaa na itawasilishwa kwa timu yetu ili ikaguliwe. Kumbuka kwamba unaweza kuchuja maudhui ambayo yanaafikiana na Mwongozo wetu wa Jumuia lakini hutaki kuyaona kwa kutumia Hali ya Usalama ya YouTube.
  Paroolide turvalisuse t...  
Üks võimalus on kasutada fraasi, mida ainult teie teate. Seostage see kindla veebisaidiga, mis aitab parooli meeles pidada. Meilikonto puhul võite alustada fraasiga „Minu sõbrad Tom ja Jasmine saadavad mulle üks kord päevas naljaka meili” ja seejärel kasutada selle uuesti loomiseks numbreid ja tähti.
Wazo moja ni kufikiria fungu la maneno ambalo wewe pekee unayejua, na lihusishe na tovuti fulani kukusaidia kulikumbuka. Kwa barua pepe yako unaweza kuanza kwa "Rafiki yangu Tom hunitumia barua pepe ya kufurahisha mara moja kwa siku" na kisha tumia nambari na herufi ili kuliunda upya. “MfT&Jsmafe1ad” ni nenosiri lenye mabadiliko mengi. Kisha rudia mchakato huu kwa tovuti nyingine.
  Sisse- ja väljalogimine...  
Kui aga kasutate Interneti-kohvikus või raamatukogus avalikku arvutit, pidage meeles, et võite jääda kasutatud teenustesse sisselogituks ka pärast seda, kui olete brauseri sulgenud. Seega logige avalikku arvutit kasutades teenustest alati välja, klõpsates paremas ülanurgas oma konto fotol või e-posti aadressil ja valides käsu Logi välja.
Lakini unapokuwa ukitumia kompyuta za hadhira kama kwenye mkahawabwake au maktaba, kumbuka kuwa unaweza ukawa bado umeingia katika huduma zozote ulizokuwa ukitumia hata baada ya kufunga kivinjari. Hivyo unapokuwa ukitumia kompyuta ya hadhira, hakikisha umetoka kwa kubofya kwenye picha yako ya akaunti au anwani ya barua pepe kwenye upande wa juu wa mkono wa kulia na kuchagua Ondoka.